mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Vyeo vya huku kwetu ni lazima uwe kada, mnafiki na ujipendekeze upate connection 😄😄 weledi,uzoefu na taaluma unaweka kwenye makalioHaya tulipaswa kuyaelewa miaka 50 iliyopita sasa tunayajua leo baada ya kukubali kuiua fastjet, roho ngumu Precision na wengine ili tubakiwe na shirika moja tu likidhani litapata pesa yote. Waulizeni hata Emirates au KQ management zao sio za kugawiana vyeo bali wanwaweka watu competent hata kama sio Waarabu wenzao mradi shirika liende vizuri tu.
Hapa hadi uwe mwenzao au uwe na kadi ya chama na business plan anakaa nayo mtu mfukoni