binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ilifika sehemu mkishuka airport madereva tax wanaambizana hawa ni abiria wa fastjet hawa hawapandi tax ng'oo wanaenda kukwea daladala 😀Hata ambao ndege ilikuwa hatujawahi kuota kupanda, Fast Jest tulipanda.....Mbeya elf 86 kwa wale tulikuwa tunakata week mbili kabla ya safari na kuna wakati niliwahi panda kwa 66 elf tu mpaka Songwe, hao aitisielo na Presisheni MUNGU anawaona.....tumerudi kwenye IT tu