Ukipanda Basi unafika Dar mapema kuliko aliekata tiketi ya ndege za ATCL

Vyeo vya huku kwetu ni lazima uwe kada, mnafiki na ujipendekeze upate connection 😄😄 weledi,uzoefu na taaluma unaweka kwenye makalio
 
Wameomba msamaha kwa kuchelewachelewa kwa ndege sababu nyingine ziko kwenye matengenezo.
 
Lakini si ipo precision air. Au?
Unapotengeneza washindani wengi wenye nguvu kwenye soko na ushindani wenye usawa unatengeneza mazingira husisimua maboresho ya huduma na bidhaa kwa mtumiaji pia huongeza tija na weledi pia kuongeza matumizi ya sayansi na tekinaolojia hayo ndio maendeleo
 
C.A.G. alionya na kushauri hili shirika ni kansa isiyotibika, ila watu wanadhani mwendawazimu aliyesema siku ina saa 48 anajua zaidi. Kodi zetu zinatumika kuendesha mashirika yasiyo na maana kama haya, ndio maana kila siku yanaibuka matozo ya kipuuzi.
 
Na siajabu ATCL wangejifunza mawili matatu kutoka Fast Jet. Ingewezekana kachero wa TISS angetafutiwa ajira Fast Jet kuwaibia maujanja. Makachero wetu wako busy kuwasulubu wana Chadema.
Kachero mmiliki wa fastjet alishindwa kutumia uzalendo mpaka fastjet tz ikafurushwa? Au hakusikilizwa?
 
Wameomba msamaha kwa kuchelewachelewa kwa ndege sababu nyingine ziko kwenye matengenezo.
miezi inaenda tu kila siku wanaomba msamaha kwa kisingizio cha matengenezo.
Kuna maana gani viongozi kukusanyika aiport na kukata viuno kusherehekea ndege alafu mwisho wa siku ndege zote mbovu, abiria hasa watalii wanapata bad exprience ya kupotezewa muda wao kwa execuse zisizoisha.
 
Hizi ndege ni aibu tupu,kwendana na analysis mbalimbali-Ili Dreamliner iweze kutoa faida inatakiwa iwe inaenda route ya at least masaa 8 na iwe nearly kwenye full capacity. Sasa hapa nchi hz route watazitoa wapi pamoja na hao watu wa kila mara?
 
Na siajabu ATCL wangejifunza mawili matatu kutoka Fast Jet. Ingewezekana kachero wa TISS angetafutiwa ajira Fast Jet kuwaibia maujanja. Makachero wetu wako busy kuwasulubu wana Chadema.
Hata ivyo serikali hawajachelewa wanaweza wakamtafuta mfano kama aliyekuwa Ceo na manegement yao kisha unachanganya watu wapya ambao baadae unakuja kuwapandisha juu,
 
Fast Jet ilikua mkombozi wetu nayo ikafanyiwa hujuma ili ATCL asiwe na mpinzani.
Naililia sana Fast Jet. Nilimpandisha mpaka bibiangu,kwa mara ya kwanza akaonja pipa bibiang. Fast Jet walikuja kibiashara kabisa. Watu walianza kuachana na mabasi. Fast Jet walikuwa wanajaa abiria,mpaka miezi ile ya 12 walikuwa wanakodi ndege zingine.
 
Hizi ndege ni aibu tupu,kwendana na analysis mbalimbali-Ili Dreamliner iweze kutoa faida inatakiwa iwe inaenda route ya at least masaa 8 na iwe nearly kwenye full capacity. Sasa hapa nchi hz route watazitoa wapi pamoja na hao watu wa kila mara?

Mfano rahisi ulikuwa Kenya hapo. Wana shirika lililo kwenye game muda mrefu, na wana frequencies hatusogei. Walinunua Dreamliners kwa fujo na masifa, mwisho wa siku walilazimika kuziuza na kukodisha nyingine. Wamekuja kuzirudisha 2 zilizobaki baada ya kupata NBO - JFK. Lakini bwana yule marehemu alijiona ana maarifa kuzidi kila mtu.
 
India yenyewe iliona biashara ya ndege ni chechefu recently,wakaamua kuuza ndege zao zote
 
Arafu pia precision wana kabei nafuu uki
 
Arafu pia precision wana kabei nafuu uki
Presicion wana kabei nafuu ukilinganisha na mwingine. Arafu Kuna kampuni moja hv nilipanda mwanza Dar. Inakitivii kimoja ndan yaan utafikiria bus au Pengine Bora ya bus. Na hiyo tuliambiwa ndio ndege ya kisasa
Your browser is not able to display this video.
 
The problem is full capacity na sio matengenezo wala idadi ndogo ya ndege bado wanafanya safari kiswahili kwa kujaribu kufanya delaying
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…