Ukipanda Basi unafika Dar mapema kuliko aliekata tiketi ya ndege za ATCL

Ilifika sehemu mkishuka airport madereva tax wanaambizana hawa ni abiria wa fastjet hawa hawapandi tax ng'oo wanaenda kukwea daladala 😀
 
Eitisielo waanze kuweka na filamu za mkojani ili abiria wawe wanaburudika
 

[emoji81]
 
Kwenda Arusha town toka Dar we panda BM ya saa 12 asubuhi saa 7.30 mchana unakula ugali kuku wa kuchoma hotel za Arusha .sasa we kata sijui ndege utafika usiku mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…