Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JKT ni kupoteza muda, now pumzika after A-level huku ukifuatilia degree program nzuri ya kusoma Kwa combination yako, suala la kutopata mkopo kisa hujaenda JKT is something shit.Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
Mimi sikuenda na mkopo nlipata, sio kila mtu ana afya ya kwenda jkt, mkopo hauhusiani na jkt labda kama unampango wa kufanya kazi zinazohusiana na jeshiHuwezi kupata...
Kuna mwenzako ilikua hivo hivo alipangiwa ila wakamjaza huku jf..
Leo hii hana mkopo anatafuta mchawi nani..
Sasa wewe endelea hivo hivo humu utapewa moyo tu
Ila mda wenzako wanaponda boom wee unawaza ada utakua peke ako
😂😂😂😂😂 Wee endelea kupotosha watu humu .Mimi sikuenda na mkopo nlipata, sio kila mtu ana afya ya kwenda jkt, mkopo hauhusiani na jkt labda kama unampango wa kufanya kazi zinazohusiana na jeshi
JKT kupoteza muda tu.Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
ChaiHuwezi kupata...
Kuna mwenzako ilikua hivo hivo alipangiwa ila wakamjaza huku jf..
Leo hii hana mkopo anatafuta mchawi nani..
Sasa wewe endelea hivo hivo humu utapewa moyo tu
Ila mda wenzako wanaponda boom wee unawaza ada utakua peke ako
Sawa chai...Chai
Wacha ulongo wewe. Huyo alikosa Kwa sababu nyinginezo jkt na bodi ya mikopo ni vitu viwili tofauti.muongozo was mwaka hu aujatoka Hila almost inakuaga kama hivi nimepitia ya miaka mingi akuna kigezo Cha jkt ni kutengenezea madogo stress TU kama Awana interest na hiyo jkt piga chini ni kupoteza muda TU soma hiyoHuwezi kupata...
Kuna mwenzako ilikua hivo hivo alipangiwa ila wakamjaza huku jf..
Leo hii hana mkopo anatafuta mchawi nani..
Sasa wewe endelea hivo hivo humu utapewa moyo tu
Ila mda wenzako wanaponda boom wee unawaza ada utakua peke ako
Hii kama hujawahi pitia shukuru Mungu, mziki wa ada sio powa mpaka unamaliza chuo unakua umekondaIla mda wenzako wanaponda boom wee unawaza ada utakua peke ako
Unaongea tu ila yanayofanyika huku we huyajui...Wacha ulongo wewe. Huyo alikosa Kwa sababu nyinginezo jkt na bodi ya mikopo ni vitu viwili tofauti.muongozo was mwaka hu aujatoka Hila almost inakuaga kama hivi nimepitia ya miaka mingi akuna kigezo Cha jkt ni kutengenezea madogo stress TU kama Awana interest na hiyo jkt piga chini ni kupoteza muda TU soma hiyo
Weeeh so poa yaani acha kabisa aiseeeeeeeHii kama hujawahi pitia shukuru Mungu, mziki wa ada sio powa mpaka unamaliza chuo unakua umekonda
Acha kudanganya watu mkuu, sikwenda jkt na mkopo nilipata wote.. pia kwenye kuomba mkopo hakuna sehem unacho kiambatanisha hicho cheti cha jktHuwezi kupata...
Kuna mwenzako ilikua hivo hivo alipangiwa ila wakamjaza huku jf..
Leo hii hana mkopo anatafuta mchawi nani..
Sasa wewe endelea hivo hivo humu utapewa moyo tu
Ila mda wenzako wanaponda boom wee unawaza ada utakua peke ako
Bado ujajua system ilivo mkuu...Acha kudanganya watu mkuu, sikwenda jkt na mkopo nilipata wote.. pia kwenye kuomba mkopo hakuna sehem unacho kiambatanisha hicho cheti cha jkt