Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?

Wee jamaa nimeamini ni muongo kabisa aiseeeee πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Uongo wangu uko wapi ,mkuu , rejea nyuma ya hii thread nimeelezea kwa ufupi changamoto za kimkopo na kukosa vyuo walizopata marafiki niliosoma nao then naimani utanielewa πŸ™πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Duuh najaribu kuamini ila naona ni uwongo maana nakumbuka mimi niliambiwa na wazee fulani hivi kuwa huwezi pata mkopo kama ujaenda jeshi
 
Uliambiwa ila inaonekana hukufatilia mkuu , hicho kigezo kilikuwa ni uvumi tu hasa mwaka jana ,ila reality ndio hiyo na kuna watu wanalalamika wanaamini JKT iliwanyima muda na uwezo wa kupata taarifa mbalimbali muhimu kuhusu uombaji wa vyuo na mkopo
 
Bado ujajua system ilivo mkuu...
Wee tulia hivo hivo ila asije akaja mtu humu kulalamika
Jkt certificate haziko kwenye database yoyote ya serikali including helsb and necta , pia ziko Tu huko ,kjt Hata Jw hawana taarifa zao. Jkt nikumpotezea mtoto Muda Tu.

SEMA we Jamaa unataka madogo wakaenyeke huko maporini, ndio furaha yako
 
Uliambiwa ila inaonekana hukufatilia mkuu , hicho kigezo kilikuwa ni uvumi tu hasa mwaka jana ,ila reality ndio hiyo na kuna watu wanalalamika wanaamini JKT iliwanyima muda na uwezo wa kupata taarifa mbalimbali muhimu kuhusu uombaji wa vyuo na mkopo
Duuuh duuuh aiseee kuna mengi kweli mtaani huku kumbe
 
Jkt certificate haziko kwenye database yoyote ya serikali including helsb and necta , pia ziko Tu huko ,kjt Hata Jw hawana taarifa zao. Jkt nikumpotezea mtoto Muda Tu.

SEMA we Jamaa unataka madogo wakaenyeke huko maporini, ndio furaha yako
Safi na ndo inavotakiwa mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
JKT na mkopo ni vitu viwili tofauti.
Inshort JKT ni kuchezea hela ya nchi. Sawa mnaenda kufanya kazi lakini hazilingani na hela itakayotumika.

NB. Mimi sikwenda JKT maana sikuwa interested na mkopo nilipata vyema. Na mwisho kuna walioenda JKT na mkopo hawakupata. Na maneno ya kusema JKT na mkopo viko related sijui ni kiongozi gani alishwaweka wazi hili!
 
Wazazi walidanganywa sana , wengine mpaka wakawafukuza vijana wao kwamba waende JKT kuhofia wasije kukosa mkopo😁😁😁
 
Huwezi kupata...
Kuna mwenzako ilikua hivo hivo alipangiwa ila wakamjaza huku jf..

Leo hii hana mkopo anatafuta mchawi nani..
Sasa wewe endelea hivo hivo humu utapewa moyo tu

Ila mda wenzako wanaponda boom wee unawaza ada utakua peke ako
Siyo kweli wanaopangiwa jkt ni idadi ndogo hivyo hao ambao hawakupangwa unamaana hawaendi vyuo vikuu?kama wanaenda nani anawalipa?
 
Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
unapata vizuri tu

1.JKT hawakulipii huo mkopo
2.Sio kigezo cha kupata mkopo - hakipo ukisoma katika vigezo vya heslb
3.Mkopo ni haki yako kama unatimiza na kukizi masharti yote ya HESLB
4.Kumbuka mkopo sio zawadi - utaulipa baadaye - kama una uwezo wa kusoma we jisomeshe mkopo waachie wanaohitaji
 
Back
Top Bottom