The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Uongo wangu uko wapi ,mkuu , rejea nyuma ya hii thread nimeelezea kwa ufupi changamoto za kimkopo na kukosa vyuo walizopata marafiki niliosoma nao then naimani utanielewa ππΉπΏπΉπΏWee jamaa nimeamini ni muongo kabisa aiseeeee πππππ
Duuh najaribu kuamini ila naona ni uwongo maana nakumbuka mimi niliambiwa na wazee fulani hivi kuwa huwezi pata mkopo kama ujaenda jeshiUongo wangu uko wapi ,mkuu , rejea nyuma ya hii thread nimeelezea kwa ufupi changamoto za kimkopo na kukosa vyuo walizopata marafiki niliosoma nao then naimani utanielewa ππΉπΏπΉπΏ
Uliambiwa ila inaonekana hukufatilia mkuu , hicho kigezo kilikuwa ni uvumi tu hasa mwaka jana ,ila reality ndio hiyo na kuna watu wanalalamika wanaamini JKT iliwanyima muda na uwezo wa kupata taarifa mbalimbali muhimu kuhusu uombaji wa vyuo na mkopoDuuh najaribu kuamini ila naona ni uwongo maana nakumbuka mimi niliambiwa na wazee fulani hivi kuwa huwezi pata mkopo kama ujaenda jeshi
Jkt certificate haziko kwenye database yoyote ya serikali including helsb and necta , pia ziko Tu huko ,kjt Hata Jw hawana taarifa zao. Jkt nikumpotezea mtoto Muda Tu.Bado ujajua system ilivo mkuu...
Wee tulia hivo hivo ila asije akaja mtu humu kulalamika
Walikudanganya ukanyeke Tu πDuuh najaribu kuamini ila naona ni uwongo maana nakumbuka mimi niliambiwa na wazee fulani hivi kuwa huwezi pata mkopo kama ujaenda jeshi
Duuuh duuuh aiseee kuna mengi kweli mtaani huku kumbeUliambiwa ila inaonekana hukufatilia mkuu , hicho kigezo kilikuwa ni uvumi tu hasa mwaka jana ,ila reality ndio hiyo na kuna watu wanalalamika wanaamini JKT iliwanyima muda na uwezo wa kupata taarifa mbalimbali muhimu kuhusu uombaji wa vyuo na mkopo
Hapana mkuu ila ujue nini jeshi muhimuWalikudanganya ukanyeke Tu π
Safi na ndo inavotakiwa mkuu ππππJkt certificate haziko kwenye database yoyote ya serikali including helsb and necta , pia ziko Tu huko ,kjt Hata Jw hawana taarifa zao. Jkt nikumpotezea mtoto Muda Tu.
SEMA we Jamaa unataka madogo wakaenyeke huko maporini, ndio furaha yako
Ndiyo hali halisi hiyo mkuu , umuhimu wa JKT upo ila sio kwa upande wa mkopoDuuuh duuuh aiseee kuna mengi kweli mtaani huku kumbe
Mpeleke mwanao veta, mtafutie passport,Hapana mkuu ila ujue nini jeshi muhimu
Ke hapo ni kweli ila huyu wakiume ni lazima aende kupata show awe mzalendoMpeleke mwanao veta, mtafutie passport,
Mzazi mwenye akili hampeleki mwanae hasa ke jkt
Wazazi walidanganywa sana , wengine mpaka wakawafukuza vijana wao kwamba waende JKT kuhofia wasije kukosa mkopoπππJKT na mkopo ni vitu viwili tofauti.
Inshort JKT ni kuchezea hela ya nchi. Sawa mnaenda kufanya kazi lakini hazilingani na hela itakayotumika.
NB. Mimi sikwenda JKT maana sikuwa interested na mkopo nilipata vyema. Na mwisho kuna walioenda JKT na mkopo hawakupata. Na maneno ya kusema JKT na mkopo viko related sijui ni kiongozi gani alishwaweka wazi hili!
π Afande Poor Brain huyoKuna maafande wanalazimisha watu waende humu kha.
Wee ni muongo sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha basi... Bila jkt mkopo upati.
Fatilia wanaokosa mikopo au wanaopata asilimia chache utaona shida ni nini ..
Kwenda huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca mi sio kiben10 now najitegemea mwenyewe alafu sasa hivi sitoki ja mashangazi natoka na kitoto kimoja hv cha kampala hapa gomzi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kweli wanaopangiwa jkt ni idadi ndogo hivyo hao ambao hawakupangwa unamaana hawaendi vyuo vikuu?kama wanaenda nani anawalipa?Huwezi kupata...
Kuna mwenzako ilikua hivo hivo alipangiwa ila wakamjaza huku jf..
Leo hii hana mkopo anatafuta mchawi nani..
Sasa wewe endelea hivo hivo humu utapewa moyo tu
Ila mda wenzako wanaponda boom wee unawaza ada utakua peke ako
jkt na mkopo ni vitu viwili tofauti acha kuwa tisha watoto,labda tu asikidhi vigezo vyakupewa mkopo na asijaze fomu kwa usahihi vinginevyo mkopo anapata bila jktSawa chai...
Ila maamuzi juu yake...
Wakati analia lia humu mkopo hajapata aisitafute mchawi nani
unapata vizuri tuHivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani