Ukipata fursa ya kukutana na Mshana Jr utamueleza nini?

Ukipata fursa ya kukutana na Mshana Jr utamueleza nini?

Ntamuuliza , aniambie maana ya maneno haya , amani yangu nawapa ,amani yangu nawaachieni.
 
Nitamueleza aache kututisha ucku, story zake za mida ya wanga na kuzimu azilete mchana. Coz ananifanya niogope kuingia jf night times I can't sleep nikiona izo vitu. But I still like him !
 
Kweli kabisa

Poa si hapo kushoto penye uchi mbuzi wa kukaanga Karibu na k. Kituo? Niko Mkiu nakuja
Hahaaaaaaaa....
Tupo na vijana wetu wanaangalia bebies wa kindengelekoo....
Tahadhari mwisho SAA kumi na mbili.... Hali ya hatari hapa.
Lakini ni salama
 
OK.... But soon I will be driving back to my farm house.
 
Back
Top Bottom