haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Waswahili wasema lila na fila havitangamani, basi vivyo hivyo vitu vitatu hivi havikai pamoja, na ukivipata basi tunasema ni neema.
Kimoja kinaweza kutafutwa kwa juhudi ingawa pia waweza kosa ila viwili ukivikosa umevikosa
1. Akili,
2. Uzuri,
3. Uwezo wa kujikimu, si lazina uwe tajiri ila uwezo wa kupata mahitaji muhimu wewe na familia yako.
Ukiwa navyo vyote vitatu, wewe una neema.
Ya nyongeza ni kua handsome kama mimi kisha sina mambo ya wanawake, nimetulia tuli na familia yangu.
Ingawa watu wanadhani uhandsome wangu nitakua napita na wengi