HahahaWatu mnaona bora kufarijiana tu mwaka uishe,.
Sio nyumba na magari tena, . Vizuri lakini🙌🙌
Duh aiseee
Jamaa bwana kwa hiyo umeamua kututukana kianaWaswahili wasema lila na fila havitangamani, basi vivyo hivyo vitu vitatu hivi havikai pamoja, na ukivipata basi tunasema ni neema.
Kimoja kinaweza kutafutwa kwa juhudi ingawa pia waweza kosa ila viwili ukivikosa umevikosa
1. Akili,
2. Uzuri,
3. Uwezo wa kujikimu, si lazina uwe tajiri ila uwezo wa kupata mahitaji muhimu wewe na familia yako.
Ukiwa navyo vyote vitatu, wewe una neema.
Ya nyongeza ni kua handsome kama mimi kisha sina mambo ya wanawake, nimetulia tuli na familia yangu.
Ingawa watu wanadhani uhandsome wangu nitakua napita na wengi
Wanajukwaa hebu naomba mnisaidie,akili ni nini? Isije ikawa kweli siko na akili lakini najifanya ninazo Ila mwalimu wa Physics O-level alikua ananiambia,eti Mr Ndibuka nani kutegemea sana katika somo langu,japo kweli nilimpa sifa ya kupata A,mkuu hebu nipe tafsiri sahihi ya Akili tafadhaliWaswahili wasema lila na fila havitangamani, basi vivyo hivyo vitu vitatu hivi havikai pamoja, na ukivipata basi tunasema ni neema.
Kimoja kinaweza kutafutwa kwa juhudi ingawa pia waweza kosa ila viwili ukivikosa umevikosa
1. Akili,
2. Uzuri,
3. Uwezo wa kujikimu, si lazina uwe tajiri ila uwezo wa kupata mahitaji muhimu wewe na familia yako.
Ukiwa navyo vyote vitatu, wewe una neema.
Ya nyongeza ni kua handsome kama mimi kisha sina mambo ya wanawake, nimetulia tuli na familia yangu.
Ingawa watu wanadhani uhandsome wangu nitakua napita na wengi
Mwanaume kujisifia uzuri utavuliwa ubingwa bila ridhaa yako.
Una mume ?Waswahili wasema lila na fila havitangamani, basi vivyo hivyo vitu vitatu hivi havikai pamoja, na ukivipata basi tunasema ni neema.
Kimoja kinaweza kutafutwa kwa juhudi ingawa pia waweza kosa ila viwili ukivikosa umevikosa
1. Akili,
2. Uzuri,
3. Uwezo wa kujikimu, si lazina uwe tajiri ila uwezo wa kupata mahitaji muhimu wewe na familia yako.
Ukiwa navyo vyote vitatu, wewe una neema.
Ya nyongeza ni kua handsome kama mimi kisha sina mambo ya wanawake, nimetulia tuli na familia yangu.
Ingawa watu wanadhani uhandsome wangu nitakua napita na wengi
Upo...
Nmefurahi kusikia hvyo..