Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuongezea na hii:-Je kama huko kwingine umepata dodoso mazingira yao ni bora kuliko hapa?Jibu hivi..
Hapana.
mshahara sio hitaji pekee la mfanyakaz makini,Bali mazingira bora na yanayoruhusu mfanyakazi kuonyesha uwezo wake wa kuisaidia kampuni kukua na kunufaika pamoja kama washirika.
Hapo unakua tayari umepata kazi au ndio halafu maswali chokozi haya Mimi Hua siyapendi kabisaJibu hivi..
Hapana.
mshahara sio hitaji pekee la mfanyakaz makini,Bali mazingira bora na yanayoruhusu mfanyakazi kuonyesha uwezo wake wa kuisaidia kampuni kukua na kunufaika pamoja kama washirika.
Naenda huko huko nyie bakini na Kampuni yenu mambo yakiwa ovyo nitarudi tena hapa hapa nilipopazoeaWanakuongezea na hii:-Je kama huko kwingine umepata dodoso mazingira yao ni bora kuliko hapa?
Mi nipo muwaz najib ndioWanakuongezea na hii:-Je kama huko kwingine umepata dodoso mazingira yao ni bora kuliko hapa?
Inabidi kujibu kinafiki tu ila deep down ni ndiyooo. Sipendi mtu anauliza maswali ya kindezi kama hayo.Jibu hivi..
Hapana.
mshahara sio hitaji pekee la mfanyakaz makini,Bali mazingira bora na yanayoruhusu mfanyakazi kuonyesha uwezo wake wa kuisaidia kampuni kukua na kunufaika pamoja kama washirika.
Jibu Hivi:Wanakuongezea na hii:-Je kama huko kwingine umepata dodoso mazingira yao ni bora kuliko hapa?
Mr Job aje atusaidie hili swali.Katika usaili wa kazi kunakuwaga na maswali ya mtego sana. Mfano ndio umeulizwa hivyo sasa unawajibu vipi ili usikose hiyo kazi?
Wanapima uelewa wako mkuu ,ni swali la kinafki kwa asie na akili.So ni kuzungukana tuu.Inabidi kujibu kinafiki tu ila deep down ni ndiyooo. Sipendi mtu anauliza maswali ya kindezi kama hayo.
Jibu lipo wazi mkuu. Ukiambiwa kuyumba huko ni kwa mda gani,na utalipiwa kodi na mahitaji ya kila siku,utavumilia tu.kuna mmoja ali niuliza ikitokea kampuni ika yumba utakua tayari kuvumilia kufanya kazi bila mshahara na kuto dai malipo yako
Sijawahi kukutana na swali na namna hiyo. Ni ujinga kuuliza swali kama hilo kwenye interview wakati unajua deep down utadanyanywa.Wanapima uelewa wako mkuu ,ni swali la kinafki kwa asie na akili.So ni kuzungukana tuu.