Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Habari wandugu,
Naomba kuuliza wana jukwaa hili, Hivi ikitokea ukapewa shillingi za kitanzania milioni 100 ukaambiwa uzifanyie biashara. Je ni biashara gani utafanya?
nani akupe pesa zote hizo?
Ukishapewa tafuta wataalam wa fedha wakushauri. Au subir upewe tutakushauri
Ukishapewa tafuta wataalam wa fedha wakushauri. Au subir upewe tutakushauri
Ukishindwa kutoka kimaisha na kuwa tajiri wa kuogopwa,kweli utakuwa ----- wa kutupwa.Wengine tumeanza na mtaji wa milioni 3 lakini ninaapoandika mtaji wangu unakimbilia milioni 800.
Ukishindwa kutoka kimaisha na kuwa tajiri wa kuogopwa,kweli utakuwa ----- wa kutupwa.Wengine tumeanza na mtaji wa milioni 3 lakini ninaapoandika mtaji wangu unakimbilia milioni 800.
Kitu kimoja tusicho kijua ni kwamba, si kweli kwamba kila mtu akiotea pesa ni lazima afanye biashara, some time unaweza nunua hisa kwenye mashirika yanayo fanya vizuri na ikaja kukusaidia, Some time unawekeza kununua share.
Kwenye biashara kama huna sprit ni ngumu sana, unaweza jikuta unakuwa na mwisho mbaya sana.
mbona kazi rahisi, nanunua matrekta mawili mapya ya mil 30-40@, kisha naenda kijijini na kununua shamba heka 3-5. Baada ya hapo ni mwendo wa kulimishia watu mashamba yao kwa kila heka elf 45-50 na mimi kulima, kupanda na kuvuna. Baada ya mwaka narudisha milioni 200 na hata zaidi.
ukishindwa kutoka kimaisha na kuwa tajiri wa kuogopwa,kweli utakuwa ----- wa kutupwa.wengine tumeanza na mtaji wa milioni 3 lakini ninaapoandika mtaji wangu unakimbilia milioni 800.
Mmmh kaka wapi huko unalimisha mashamba na kupata milioni 200?? Tanzania hii hii?
Ukishindwa kutoka kimaisha na kuwa tajiri wa kuogopwa,kweli utakuwa ----- wa kutupwa.Wengine tumeanza na mtaji wa milioni 3 lakini ninaapoandika mtaji wangu unakimbilia milioni 800.
zimekaa tu! mkuu hata bible inakata hivyo, kwa nini usiwe venture capitalist au utukopeshe watu tukuzalishie kwa riba?Tayari ninazo. Zimekaa tu