Ukipata milioni 100

Ukipata milioni 100

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
7,553
Reaction score
3,081
Habari wandugu,

Naomba kuuliza wana jukwaa hili, Hivi ikitokea ukapewa shillingi za kitanzania milioni 100 ukaambiwa uzifanyie biashara. Je ni biashara gani utafanya?
 
Ukishapewa tafuta wataalam wa fedha wakushauri. Au subir upewe tutakushauri

Wataalamu wa biashara ama wa fedha?Huu utaalamu wa vyuoni na hasa vya kwetu hapa utakufanya ufilisike tu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mbona kazi rahisi, nanunua matrekta mawili mapya ya mil 30-40@, kisha naenda kijijini na kununua shamba heka 3-5. Baada ya hapo ni mwendo wa kulimishia watu mashamba yao kwa kila heka elf 45-50 na mimi kulima, kupanda na kuvuna. Baada ya mwaka narudisha milioni 200 na hata zaidi.
 
Kwa hali ya sasa ilivyokuwa ngumu mtu akupe hela zote hizo?
 
Ukishindwa kutoka kimaisha na kuwa tajiri wa kuogopwa,kweli utakuwa ----- wa kutupwa.Wengine tumeanza na mtaji wa milioni 3 lakini ninaapoandika mtaji wangu unakimbilia milioni 800.

Duuuh kweli wastahili pongez mkuu hebu tupeane mawazo mkuu
 
Kitu kimoja tusicho kijua ni kwamba, si kweli kwamba kila mtu akiotea pesa ni lazima afanye biashara, some time unaweza nunua hisa kwenye mashirika yanayo fanya vizuri na ikaja kukusaidia, Some time unawekeza kununua share.

Kwenye biashara kama huna sprit ni ngumu sana, unaweza jikuta unakuwa na mwisho mbaya sana.
 
Ni kweli tuanze kufikiria kuhusu kuuza na kuuza shares ya hizi biashara zetu, sio wote tuna muda na spirit ya kufanya biashara. Tatizo inabidi kuiangalia sana kampuni husika kabla ya kuwekeza hela yako, Tanzania hadi sasa NICOL, CRDB na Precision nk sijaona waliopapta chochote cha maana kwa miaka ambayo hela zao zimekaa uko. Mimi pamoja na biashara nyingine badi naona ardhi ni investment nzuri sana mradi tu uwe na uhakika wa uhalali na masterplan ya mahali. Mfano kuna viwanja vinapimwa na kuuzwa baada ya muda value inapenda sana. Kuna mashamba pia thamani yake inapenda kuliko kuwekeza mayai yote kwenye kapu moja.
Kitu kimoja tusicho kijua ni kwamba, si kweli kwamba kila mtu akiotea pesa ni lazima afanye biashara, some time unaweza nunua hisa kwenye mashirika yanayo fanya vizuri na ikaja kukusaidia, Some time unawekeza kununua share.

Kwenye biashara kama huna sprit ni ngumu sana, unaweza jikuta unakuwa na mwisho mbaya sana.
 
mbona kazi rahisi, nanunua matrekta mawili mapya ya mil 30-40@, kisha naenda kijijini na kununua shamba heka 3-5. Baada ya hapo ni mwendo wa kulimishia watu mashamba yao kwa kila heka elf 45-50 na mimi kulima, kupanda na kuvuna. Baada ya mwaka narudisha milioni 200 na hata zaidi.

Mmmh kaka wapi huko unalimisha mashamba na kupata milioni 200?? Tanzania hii hii?
 
ukishindwa kutoka kimaisha na kuwa tajiri wa kuogopwa,kweli utakuwa ----- wa kutupwa.wengine tumeanza na mtaji wa milioni 3 lakini ninaapoandika mtaji wangu unakimbilia milioni 800.

ulifanya bisnes gani mkuu
 
Mmmh kaka wapi huko unalimisha mashamba na kupata milioni 200?? Tanzania hii hii?

Ni huku mkoani morogoro wilaya ya kilombero na ulanga. Yaani huku ukiwa na trekta tu, wewe ni tajiri na unauaga umaskini.
 
Ukishindwa kutoka kimaisha na kuwa tajiri wa kuogopwa,kweli utakuwa ----- wa kutupwa.Wengine tumeanza na mtaji wa milioni 3 lakini ninaapoandika mtaji wangu unakimbilia milioni 800.

Samahani mkuu hizo hela ni za Zimbabwe?
ZimbabweDollars468x3331.jpg

Samahani lakini.
 
Back
Top Bottom