Kidasa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 309
- 108
Mkuu ni hela za Kitanzania(Tshs).Ujue ujasiriamali inatokana na kuwa na wazo na jinsi ya kuweza kusimamia hayo mawazo ili yaleta tija katika business au shughuli unayotaka kuisimamia.Samahani mkuu hizo hela ni za Zimbabwe?
![]()
Samahani lakini.