Ukipata milioni 100

Ukipata milioni 100

Samahani mkuu hizo hela ni za Zimbabwe?
ZimbabweDollars468x3331.jpg

Samahani lakini.
Mkuu ni hela za Kitanzania(Tshs).Ujue ujasiriamali inatokana na kuwa na wazo na jinsi ya kuweza kusimamia hayo mawazo ili yaleta tija katika business au shughuli unayotaka kuisimamia.
 
Fungua ofisi ya Microfinance
 
biblia inaruhusu ndio. hivi dhambi ya riba ni nini?. ukizingatia pesa ni kama commodities zingine hivyo haiwezi uzwa bila faida.

Biblia yenyewe hausomi unaibeba tu ukiwa ndani ya full suti na tai yako weekend ukafunuliwe mistari na mtumishi, msiba kwa kweli....

biblia inaruhusu ndio. hivi dhambi ya riba ni nini?. ukizingatia pesa ni kama commodities zingine hivyo haiwezi uzwa bila faida.

"Usichukue faida yoyote ya ndugu yako, ama ya pesa au chakula au kitu kingine chochote ikawa umechukua riba" (Biblia, Kumbukumbu la Torati 23:19)

"Unaweza kukopa fedha kwa ajili ya maskini yeyote kati yenu, kati ya watu wangu, hivyo ni lazima si kitendo dhidi yake kama walaji riba. Wala kuongeza juu yake faida yoyote" (Biblia, Kutoka 22:25)
 
Milioni 20 nanunua ukurugenzi napiga mahela halmashauri A nahamishi halmashauri K teh teh teh teh
 
"Usichukue faida yoyote ya ndugu yako, ama ya pesa au chakula au kitu kingine chochote ikawa umechukua riba" (Biblia, Kumbukumbu la Torati 23:19)

"Unaweza kukopa fedha kwa ajili ya maskini yeyote kati yenu, kati ya watu wangu, hivyo ni lazima si kitendo dhidi yake kama walaji riba. Wala kuongeza juu yake faida yoyote" (Biblia, Kutoka 22:25)
mkuu naomba uniwekee na torati 23;20
 
Hapo natenga kama Mil 5 za kuhakikisha nampata Hamisa Mobeto, baada ya hapo ndo naanza kuwaza dili za kufanya.
 
People always get excited whenever there is a boom in a certain sector such as real estate, agriculture, stock market or seasonal businesses like transportation.
However during a boom, those who make money are those who have been there long enough and understand the ropes. Those with no investment goals become the prey.
 
Well said chief
 
Back
Top Bottom