Linapokuja suala la kujiandaa kama kupata nguo ya kuvaa, viatu nk. kwa wanaume huwa sio shida sana japo wapo wenye vipingele lakini huwa nafuu ila kwa jinsia Ke, ndio pata shika japo wapo wanaojitahidi.
Wanawake mpaka akapate nguo ya kuvaa ni muda hata kama ana kabati 2 za nguo na zote zimejaa anaweza sema haoni nguo ya kuvaa hivyo hivyo na viatu. Akiingia bafuni na kutoka ni saa linakata.
Hivi wewe ukipata safari ya dharura itakuchukua muda gani kuwa taari kila kitu?