Ukipata nafasi ya kufurahia maisha usiichezee

Hakuna furaha bila pesa labda kama bado huna majukumu
1704945904451.jpg
 
Pamoja na pilikapilika za utafutaji wa pesa ni muhimu ku enjoy life kila upatapo nafasi, siyo kila siku busy busy,

Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, wao muda wa kazi ni kazi inapigwa kwelikweli, lakini ikifika ijumaa jioni ni bata hadi jumapili, jumatatu kazi kama kawaida, kwa mtazamo wangu naona ni jambo zuri kutenga muda wa kufurahia maisha.

Kwa hiyo tusisahau ku enjoy life hata kama ni mara moja moja, shida zipo tu kikubwa ujue namna ya kukabiliana nazo, Hii itakufanya uwe na furaha, na pia kukuepusha na msongo wa mawazo.

Nb.Enjoy life..
Duu,
🤩
Aya bwanaaa
 
Ninavyojua Mimi katika maisha kila kitu kipya lazima awepo mtu wa kujitoa sadaka. Lazima mtu ajikane mwenyewe achukue jukumu takatifu la kukitoa kizazi chake kilipo. Sasa kwenye hiyo process hapo mwanzo lazima usahau starehe bata nk. Uwe na malengo ya kupata kiasi flan kwaajili ya kufanya jambo flan la kuwatoa hapo mlipo. Napendaga kujitolea mfano mwenyewe. Mimi miaka ya 94 nilichora raman ya maisha yangu. Nikachukua miaka 10 nikagawanya kwa siku nikagundua ili niwe na mtaji kias flan natakiwa kila siku niingize kias flan kwa miaka 10 na nijibane kweli kweli. Mzee ulikuwa uamuzi mgumu na njia ilikuwa ya kiume kweli kweli lakin Mungu alinisaidia. Nikapata mtaji ambao imekuwa ni historia. Huwez kupanga maisha kwa kuwaangalia wazungu mzee. Hao jamaa wana insurance kutoka serikali zao. Akiumwa cjui shule cjui miundo mbinu kila kitu kwao kipo under control ya serIkali. Hapa kwetu ndugu yangu ukiumwa kama huna hela wewe ni wa kujifia tu na hata elimu unayosikia ya bure yaan wanamaanisha northing hakuna elimu pale. So bata lipo tu utakula tengeneza kwanza misingi Chief.ila kumbuka wanaoshangilia siku zote ni washindi. Waangalie wachina wanavyokuja kutafuta life hapa wanavyojitoa mhanga. Pambana Mzee uache kuja kuwaachia watoto laana kwa kutokukutunza.
Mkuu,
Madini sanaaa 😂😂
Mwenye akili na afahamu
 
Tupate kibwagizo kidogo...

LIFE SAVIOR_ BUGLE FT ( NOAH POWA & NORMAN ALEXANDER)

Norman Alexander
I've seen the the low,
I felt the high (I seen the low and felt the high)
I gave my blood, I sacrificed (Gave my blood and sacrifice, woi woi)
And if I could, I′d do it twice
I think music saved my life
Music saved my life

Bugle
Some people don't understand the amount of sacrifice man make
Always deh pon the drawing board, like an architect
True mi nuh come from corporate, wid mi dem never co-operate
But anything weh yuh see, dat yuh get

Never sit with mi hand pon mi jaw like a foska oat
Cause mi got a lot of hopes
Have fi pull a string,
Cause when yuh street yuh have fi know the ropes

BONGE LA NGOMA BURUDANI KIDOGO 😍😍😊😊😅😅
 
Ninavyojua Mimi katika maisha kila kitu kipya lazima awepo mtu wa kujitoa sadaka. Lazima mtu ajikane mwenyewe achukue jukumu takatifu la kukitoa kizazi chake kilipo. Sasa kwenye hiyo process hapo mwanzo lazima usahau starehe bata nk. Uwe na malengo ya kupata kiasi flan kwaajili ya kufanya jambo flan la kuwatoa hapo mlipo. Napendaga kujitolea mfano mwenyewe. Mimi miaka ya 94 nilichora raman ya maisha yangu. Nikachukua miaka 10 nikagawanya kwa siku nikagundua ili niwe na mtaji kias flan natakiwa kila siku niingize kias flan kwa miaka 10 na nijibane kweli kweli. Mzee ulikuwa uamuzi mgumu na njia ilikuwa ya kiume kweli kweli lakin Mungu alinisaidia. Nikapata mtaji ambao imekuwa ni historia. Huwez kupanga maisha kwa kuwaangalia wazungu mzee. Hao jamaa wana insurance kutoka serikali zao. Akiumwa cjui shule cjui miundo mbinu kila kitu kwao kipo under control ya serIkali. Hapa kwetu ndugu yangu ukiumwa kama huna hela wewe ni wa kujifia tu na hata elimu unayosikia ya bure yaan wanamaanisha northing hakuna elimu pale. So bata lipo tu utakula tengeneza kwanza misingi Chief.ila kumbuka wanaoshangilia siku zote ni washindi. Waangalie wachina wanavyokuja kutafuta life hapa wanavyojitoa mhanga. Pambana Mzee uache kuja kuwaachia watoto laana kwa kutokukutunza.
👍👌👏🙏
 
Back
Top Bottom