Nna starehe yangu hiyo sijinyimii kabisaa, hata nichokee vipii au niumwe, lazima yaan lazimaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha mafupi haya.
Nna starehe yangu hiyo sijinyimii kabisaa, hata nichokee vipii au niumwe, lazima yaan lazimaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha mafupi haya.
Hizo motivation ni soga tu utaambiwa furaha siyo pesa ila jaribu uone kuwa na furaha na hauna uhakika wa kula yako ya siku na unadaiwa kodi alafu bado una madeni uone hiyo furaha kama itakuwepo
Mzee mmoja alikuwa na Slogan yake kuwa kwenye kila 100,000 unayoipata basi hakikisha shilingi 70,000 unaifanyia starehe wakati shilingi 30,000 unaitumia kuwekeza/shughuli za maendeleo