Ukipata wewe ni Genius: Nani mwizi

Na kwenye meli ili uende juu kwenye bendera lazima upite bridge sehemu ambayo captain huwepo hao wafanyakaz wengine hapo wanafanya kazi below deck
 

YEAH THAT IS THE ANSWER,
WEWE NDO GENIUS WETU WA LEO
Huwezi kujibu hili swali kama huifahamu BENDERA YA JAPANI IKOJE
 
Mbona swali jepesi mwizi si aliyeiba.
 
"Si" means umekanusha,
Kama ndio mwalimu wako wa lugha una bonge la 0 hapo.


kizuri zaidi ni kama haiwezi kutokea mwalimu wangu akawa mpiga soga jf na kuonesha ubora wake.
 
Kwani lazima kuweka Pakistani? Nchi zipo nyingi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…