Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwenye meli ili uende juu kwenye bendera lazima upite bridge sehemu ambayo captain huwepo hao wafanyakaz wengine hapo wanafanya kazi below deckpoint yako kwamba pakistan guy hawezi kula bacon sio sawa, dini yake haijatajwa hapo. sio kila mpakistan ni muislam.
jibu ni rahisi sana, mwizi ni pakistan guy kwa kuwa sababu aliyosema ni ya uongo. sio rahisi kugundua kuwa bendera (ya japan) ipo up-side-down. ile bendera ikigeuzwa utaiona vile vile, huwezi kugundua!
cc olele
point yako kwamba pakistan guy hawezi kula bacon sio sawa, dini yake haijatajwa hapo. sio kila mpakistan ni muislam.
jibu ni rahisi sana, mwizi ni pakistan guy kwa kuwa sababu aliyosema ni ya uongo. sio rahisi kugundua kuwa bendera (ya japan) ipo up-side-down. ile bendera ikigeuzwa utaiona vile vile, huwezi kugundua!
cc olele
YEAH THAT IS THE ANSWER,
WEWE NDO GENIUS WETU WA LEO
Huwezi kujibu hili swali kama huifahamu BENDERA YA JAPANI IKOJE
KWA NI NINI NO 4
"Si" means umekanusha,Mbona swali jepesi mwizi si aliyeiba.
"Si" means umekanusha,
Kama ndio mwalimu wako wa lugha una bonge la 0 hapo.