Habari zenu.
Kuna mtu ananipa milioni 65 ila anataka nimrudishie faida kwa mwaka sasa naomba mniambie mil65 kwa mwaka inafaa kumrudishia shilingi ngapi maana nafanya nayo biashara pia nikishamrudishia hio fedha bado nitaendelea kubaki na hiyo ela kias ya mil65.
Karibuni
betting nayo kazi mkuuEla nafanya nayo kazi
betting nayo kazi mkuu
Mkuu wasiliana na atoto na miss chagga ndo wazuri kwenye hesabu za pesa
Habari zenu.
Kuna mtu ananipa milioni 65 ila anataka nimrudishie faida kwa mwaka sasa naomba mniambie mil65 kwa mwaka inafaa kumrudishia shilingi ngapi maana nafanya nayo biashara pia nikishamrudishia hio fedha bado nitaendelea kubaki na hiyo ela kias ya mil65.
Karibuni
Sihitaji kamari
Ngoja kwanza nisome
Daaah anipe tu hiyo hela mie maana nina matumizi nayo makubwa mnooo, yeye aendelee tu kuwaza.
Habari zenu.
Kuna mtu ananipa milioni 65 ila anataka nimrudishie faida kwa mwaka sasa naomba mniambie mil65 kwa mwaka inafaa kumrudishia shilingi ngapi maana nafanya nayo biashara pia nikishamrudishia hio fedha bado nitaendelea kubaki na hiyo ela kias ya mil65.
Karibuni
kiwososa
Kama ni kwa riba ingekuaje.
Maana yy analazimisha mimi nipokee hio hela ndio maana nikamwambia m10 kwa mwaka inatosha
Habari zenu.
Kuna mtu ananipa milioni 65 ila anataka nimrudishie faida kwa mwaka sasa naomba mniambie mil65 kwa mwaka inafaa kumrudishia shilingi ngapi maana nafanya nayo biashara pia nikishamrudishia hio fedha bado nitaendelea kubaki na hiyo ela kias ya mil65.
Karibuni
Wewe na aliekupa hiyo hela hamko sawa kichwani
kama hata hujui jibu hilo why uchukue pesa ya watu?
Mkuu zile stress zooote kumbe unakaribia kukinga m65....stress za nini???? ( namaanisha fear of public speaking etc etc)
Anyway...kama hii sio chai nashindwa kuelewa...
1.mtu kaamua kukukopesha m65 bila kujua utafanyia nini
2. Kaamua kukukopesha m65 bila kujua faida anayotaka kwa mwaka ni sh ngapi
3. Unayekopa/pewa m65 hujui urudishe sh ngapi (ina maana hujui faida unayopata kwenye biashara kwa mwaka.....hujui ukiongezea huo mtaji utapata faida sh ngapi?????)
Haya....namuacha Kaboom na series zake
Muulize basi nani huyo anakopesha na sisi tukakinge..Mana inaonekana mkopeshaji naye chenga tupu