Ukipewa milion 65 utarudisha ngapi kwa mwaka?

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,110
Reaction score
1,462
Habari zenu,

Kuna mtu ananipa milioni 65 ila anataka nimrudishie faida kwa mwaka sasa naomba mniambie mil65 kwa mwaka inafaa kumrudishia shilingi ngapi maana nafanya nayo biashara pia nikishamrudishia hio fedha bado nitaendelea kubaki na hiyo ela kias ya mil65.

Karibuni
 
Au zilete kwenye betting..Soon utakuwa tajiri..Ila nenda kaweke oda ya kitanda kabisa milembe...jst in case mambo yakienda kombo
 
Habari zenu.

Akikubali kuchukua milioni 10 kwa mwaka poa.ila uwe makini na biashara unayofanya kama inalipa kuweza kupata hiyo pesa
 
Ela nafanya nayo kazi
 
Akikubali kuchukua milioni 10 kwa mwaka poa.ila uwe makini na biashara unayofanya kama inalipa kuweza kupata hiyo pesa

kiwososa
Kama ni kwa riba ingekuaje.
Maana yy analazimisha mimi nipokee hio hela ndio maana nikamwambia m10 kwa mwaka inatosha
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu.
Kuna mtu ananipa milioni 65 ila anataka nimrudishie faida kwa mwaka sasa naomba mniambie mil65 kwa mwaka inafaa kumrudishia shilingi ngapi maana nafanya nayo biashara pia nikishamrudishia hio fedha bado nitaendelea kubaki na hiyo ela kias ya mil65.

Karibuni

Mtu anakukopesha hajui umrudishie ngapi pamoja na riba. Mkopeshaji mzuri huyo.
 
Ngoja kwanza nisome

Daaah anipe tu hiyo hela mie maana nina matumizi nayo makubwa mnooo, yeye aendelee tu kuwaza.

Teh teh..Wakati anaendelea kuwaza cha kufanya akupe umshikie aisee..
 
Mkuu zile stress zooote kumbe unakaribia kukinga m65....stress za nini???? ( namaanisha fear of public speaking etc etc)

Habari zenu.
Kuna mtu ananipa milioni 65 ila anataka nimrudishie faida kwa mwaka sasa naomba mniambie mil65 kwa mwaka inafaa kumrudishia shilingi ngapi maana nafanya nayo biashara pia nikishamrudishia hio fedha bado nitaendelea kubaki na hiyo ela kias ya mil65.

Karibuni

Anyway...kama hii sio chai nashindwa kuelewa...

1.mtu kaamua kukukopesha m65 bila kujua utafanyia nini
2. Kaamua kukukopesha m65 bila kujua faida anayotaka kwa mwaka ni sh ngapi
3. Unayekopa/pewa m65 hujui urudishe sh ngapi (ina maana hujui faida unayopata kwenye biashara kwa mwaka.....hujui ukiongezea huo mtaji utapata faida sh ngapi?????)

Haya....namuacha Kaboom na series zake
 
Last edited by a moderator:
kiwososa
Kama ni kwa riba ingekuaje.
Maana yy analazimisha mimi nipokee hio hela ndio maana nikamwambia m10 kwa mwaka inatosha

Kwa riba hiyo milioni 10 ni kama 18% kwa mwaka mkuu.kama biashara yako inatoka basi unaweza kupata hiyo hela na faida yako ukabaki nayo nzuri tu
 
Habari zenu.
Kuna mtu ananipa milioni 65 ila anataka nimrudishie faida kwa mwaka sasa naomba mniambie mil65 kwa mwaka inafaa kumrudishia shilingi ngapi maana nafanya nayo biashara pia nikishamrudishia hio fedha bado nitaendelea kubaki na hiyo ela kias ya mil65.

Karibuni

Wakopeshe ccm wapige kampeni wakishinda watakurudishia mara 2
 
Mkuu zile stress zooote kumbe unakaribia kukinga m65....stress za nini???? ( namaanisha fear of public speaking etc etc)

Anyway...kama hii sio chai nashindwa kuelewa...

1.mtu kaamua kukukopesha m65 bila kujua utafanyia nini
2. Kaamua kukukopesha m65 bila kujua faida anayotaka kwa mwaka ni sh ngapi
3. Unayekopa/pewa m65 hujui urudishe sh ngapi (ina maana hujui faida unayopata kwenye biashara kwa mwaka.....hujui ukiongezea huo mtaji utapata faida sh ngapi?????)

Haya....namuacha Kaboom na series zake

Muulize basi nani huyo anakopesha na sisi tukakinge..Mana inaonekana mkopeshaji naye chenga tupu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom