Ukipewa milion 65 utarudisha ngapi kwa mwaka?

Alishakupa hiyo pesa,ww nipe hapo kama 20M,ndani ya miezi 3 nakurudishia 35M pamoja na riba.
 
Acha tu....
Hapo kuna pia zile zinazotembezwa mitaani .... yaani kila mtu kwa nafasi yake anajimegea...

Mimi ndo maana kutoa mapovu humu ya uchaguzi naonaga ujinga
sababu wenzetu wanatoa mapovu baada ya kupewa pesa
yaani hadi Ray kanunuliwa...huu uchaguzi pesa zimemwagwa wakati wengine wanazisikia tu

Mwaka huu ni kuangalia tu maana ni nguvu ya pesa ndio inatembea. Tatizo watakapoingia madarakani watazilipaje na watakaokosa watazilipaje.....
 
M45 njoo pm nikupemchanganuo wa namna ambavyo iyo pesa utaeza kuitumia na ikatoa tija ya maana kisomi kabisa.
 
Acha tu....
Hapo kuna pia zile zinazotembezwa mitaani .... yaani kila mtu kwa nafasi yake anajimegea...

Mwaka huu ni kuangalia tu maana ni nguvu ya pesa ndio inatembea. Tatizo watakapoingia madarakani watazilipaje na watakaokosa watazilipaje.....

by next election ntakuwa na chama changu
japo nipige kelele kwa faida......niliona jinsi Makaidi alivyompachika mkewe bunge la katiba
yaani yeye na mkewe tu ndo wawakilishi wa chama nikaona kweli siasa ndo ujasiriamali mkuu tz.
biashara zingine zote za kitoto
 
Malipo yanategemea riba (faida ) na muda wa kulilipa deni. Mfano makubaliano riba 12% kwa mwaka na muda wa kulipa deni miaka 3,basi itabidi ulipe 2,158,000 kila mwezi kwa miaka 3. Google loan calculator.
 
We chukua kwanza hela uwe nayo mkononi cha kufanyia utajua ukishaimiliki. Na ukiona ni nyingi sana kwako nitafute nikusaidie kuzitumia
"Asikwambie mtu Pesa mwenzie matumizi"
 
Malipo yanategemea riba (faida ) na muda wa kulilipa deni. Mfano makubaliano riba 12% kwa mwaka na muda wa kulipa deni miaka 3,basi itabidi ulipe 2,158,000 kila mwezi kwa miaka 3. Google loan calculator.
Yeye anataka nifanye nayo kazi tu hataki kufanya kama taasisi za mikopo lakini anataka nimrudishie na riba ambayo hatjafikia maamuzi
 
unataka tukuambie riba au chakufanya na hizo pesa? unatuchanganya.
 
Sawa kwa mfano hiyo kama ni benk inayotoza riba za alimia5 itakua shiling ngap
 
aha, ngoja wtaalamu waje. ila aliyesema utafute loan culculator alikushauri fresh. kama ukihitaji patner nitafute
 
Sawa mkuu
Prtiner wa nini mkuu
 
Mbona mimi sikutani nazo mitaani, au sikatizi mitaa husika nini?

Back
Top Bottom