Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna umuhimu wa kumfuata piemu aisee....
Ukizingatia kama mie nahitaji nusu yake tu hata sio nyingi....
Mwaka wa uchaguzi huu...kuna watu wamevuna hawajui hata pa kupeleka...
Mimi ndo maana kutoa mapovu humu ya uchaguzi naonaga ujinga
sababu wenzetu wanatoa mapovu baada ya kupewa pesa
yaani hadi Ray kanunuliwa...huu uchaguzi pesa zimemwagwa wakati wengine wanazisikia tu
Acha tu....
Hapo kuna pia zile zinazotembezwa mitaani .... yaani kila mtu kwa nafasi yake anajimegea...
Mwaka huu ni kuangalia tu maana ni nguvu ya pesa ndio inatembea. Tatizo watakapoingia madarakani watazilipaje na watakaokosa watazilipaje.....
Yeye anataka nifanye nayo kazi tu hataki kufanya kama taasisi za mikopo lakini anataka nimrudishie na riba ambayo hatjafikia maamuziMalipo yanategemea riba (faida ) na muda wa kulilipa deni. Mfano makubaliano riba 12% kwa mwaka na muda wa kulipa deni miaka 3,basi itabidi ulipe 2,158,000 kila mwezi kwa miaka 3. Google loan calculator.
unataka tukuambie riba au chakufanya na hizo pesa? unatuchanganya.Yeye anataka nifanye nayo kazi tu hataki kufanya kama taasisi za mikopo lakini anataka nimrudishie na riba ambayo hatjafikia maamuzi
aha, ngoja wtaalamu waje. ila aliyesema utafute loan culculator alikushauri fresh. kama ukihitaji patner nitafuteSawa kwa mfano hiyo kama ni benk inayotoza riba za alimia5 itakua shiling ngap
Acha tu....
Hapo kuna pia zile zinazotembezwa mitaani .... yaani kila mtu kwa nafasi yake anajimegea...
Mwaka huu ni kuangalia tu maana ni nguvu ya pesa ndio inatembea. Tatizo watakapoingia madarakani watazilipaje na watakaokosa watazilipaje.....
Mbona mimi sikutani nazo mitaani, au sikatizi mitaa husika nini?
Teh teh..Wakati anaendelea kuwaza cha kufanya akupe umshikie aisee..
patner wa kuzalisha pesa. kama ukiwa unataka kufanya diversification kwenye investments zako.Sawa mkuu
Prtiner wa nini mkuu