TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Ungeelewa ujumbe…. UsingeniulizaUnadhani maelfu ya vijana wengi ambao hawana ajira hawa mheshimu Mungu?
Kumheshimu Mungu kuna uhusiano upi wa kuwa na ajira au kupata ajira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeelewa ujumbe…. UsingeniulizaUnadhani maelfu ya vijana wengi ambao hawana ajira hawa mheshimu Mungu?
Kumheshimu Mungu kuna uhusiano upi wa kuwa na ajira au kupata ajira?
Visa na uhamiaji wapi na wapi?Mipaka gani watoke wakati wananyimwa visa, wanazungushwa mpaka watoe chochote kitu
Yaani kupata visa mpaka uwe na ndugu yako anayefanya kazi uhamiaji.
Wasomi field tu mtu anaombwa rushwa sembuse kazi
Vijana waliochukuliwa kwenda kwenye mradi wa kilimo, wamefika kule wametelekezwa
Tenda nyingi wanapewa watu wa nje vijana watafanya nini?
Basi wameamua kujiajiri bado Tra uchwara mambo wanaleta mengi muda mchache huko BRELA sitaki kuongea sana
Naomba tofauti ya visa na passport, mimi sijuiVisa na uhamiaji wapi na wapi?
Au unamaanisha Passport ambazo zinatolewa na balozi husika
Passport ni hati yakusafiria inayoonyesha uraia wa muhusika na identity yake,Naomba tofauti ya visa na passport, mimi sijui
Passport hua zinatolewa kwenye ubalozi? ni lini huu utaratibu mpya umeanza?Visa na uhamiaji wapi na wapi?
Au unamaanisha Passport ambazo zinatolewa na balozi husika
Shukrani!Passport ni hati yakusafiria inayoonyesha uraia wa muhusika na identity yake,
Visa ni ruhusa Permit inayotolewa na nchi husika unayotaka kwenda,Visa ni kuruhusiwa kuingia kwenye nchi iliyokupa hiyo visa,Visa normally issued by authorities of the country to be visited,
Passport bila kua na Visa bado haitoshi kuingia kwenye nchi unayotaka kwenda,
Zipo aina nyingi za Visa,kuna nchi ni free visa,unaingia bila kulipia,kuna nchi unaomba visa kwenye balozi zao nje ya nchi zao,kuna visa unagongewa Airport ukisha fika kwenye nchi husika,aina za visa hutegemea makubaliano baina ya nchi husika.
Naona unajitafutia matatizo makubwa sana. Sumu haionjwi kwa Ulimi. Cheza na vyote lakini kwa ephen utajuta kuzaliwa maana sitakuacha salama.
Usinitishe.Naona unajitafutia matatizo makubwa sana. Sumu haionjwi kwa Ulimi. Cheza na vyote lakini kwa ephen utajuta kuzaliwa maana sitakuacha salama.
Passport ni nyaraka inayotolewa na nchi kwa raia wake ili waweze kusafiri kwenda nchi nyingine.Naomba tofauti ya visa na passport, mimi sijui
Nimesahihisha nilifanya makosa ya kiuhandishiPassport hua zinatolewa kwenye ubalozi? ni lini huu utaratibu mpya umeanza?
😎
Kabisa mkuuVijana wenzangu watanzania, hakuna Tuzo ya mfanyaji Ngono Bora, Mabinti hawaishi ukianza huwamalizi, Save hela yako na wekeza Siku hizi Uzee unawahi sana.
Tena ni heri uzee huo uwahi ukukute mzima kuliko ukukute tayari una mikosi ya kila aina, ukimwi na ndugu zao kina gono, mafinyofinyoo nk
wacheni malalamiko na kujiwekea vikwazo vya kila aina.Mipaka gani watoke wakati wananyimwa passport, wanazungushwa mpaka watoe chochote kitu
Yaani kupata passport mpaka uwe na ndugu yako anayefanya kazi uhamiaji.
Wasomi field tu mtu anaombwa rushwa sembuse kazi
Vijana waliochukuliwa kwenda kwenye mradi wa kilimo, wamefika kule wametelekezwa
Tenda nyingi wanapewa watu wa nje vijana watafanya nini?
Basi wameamua kujiajiri bado Tra uchwara mambo wanaleta mengi muda mchache huko BRELA sitaki kuongea sana
Kwani wewe umenielewaje navyozungumzia nguvu ya kiroho hao wote wachina wahindi na wazungu Wana Imani zao ndio wapo miungu yao wanayoiabuduHakuna taifa lililo endelea kwa vijana wake ku base na mambo ya kiroho.
Hebu acheni kutoa mawazo uchwara hapa.
Mifumo mibovu ya nchi ndio ina haribu vijana.
So wasifanye kazi wamtegemee Mungu ?Wamtegemee MUNGU maana Kama kazi wamefanya Sana na wanafanya Sana Ila matokeo ni 0-0 means we need having the strength of the higher power.