Ukipita Chato usiku ni kama uko New York au Jerusalem ya kwenye biblia, zile taa sijawahi kuona mkoa wowote

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mji umesimikwa taa za solar toka nyamirembe moaka buzirayombo kwa upande wa ziwani ni zaidi ya kilometa 20.

Yaani kama unapita na basi ukitokea Mganza usiku kwenda Geita utasema ni New York au Jerusalem wanayoimba walokole,pita mchana sasa ni Chalinze copy copy kasoro airport.

Yaani zile simulizi za gamboshi kuwa mji usiku unawaka taa mchana uko doro ndio chato sasa
 
Kwahiyo!
 
weka picha basi, ni chato hii hii tunayopita kila siku au ingine. nijuavyo, kwasasa chato mahotel yamekufa, airport yanakaa mabundi, mabenki mengi tu yameondoka, biashara zimefungwa. watu walidhani magu angeishi milele, kumbe hawajui mipango ya Mungu na maombi ya watanzania.
 
Picha ziko wapi?
 
Soma vizuri uelewe,Chato ya usiku ni tofauti na mchana,usiku mji unawaka taa mchana ni dorooo
 
Ulitaka zikawekwe Moshi? Machawa wake wangekuuliza.
 
Soma vizuri uelewe,Chato ya usiku ni tofauti na mchana,usiku mji unawaka taa mchana ni dorooo
wasukuma mna shida sana. kwahiyou litegemea umeme uwashwe mchana? ulitegemea chato ya mchana ingefanana na ya usikiu hata kama umeme ungekuwa wa shida? dah.
 
wasukuma mna shida sana. kwahiyou litegemea umeme uwashwe mchana? ulitegemea chato ya mchana ingefanana na ya usikiu hata kama umeme ungekuwa wa shida? dah.
Sasa huko ziwani taa za kutosha unamulikia samaki au
 
Bila picha majungu
 
Hamia huko
 
Nasikia Chato imebaki kuwa ghost town yaani mji mtupu!
 
Ungeweka picha ingependeza zaidi. Mbali na hapo kajizike karibu na kaburi la bwana yule
 
Ingenoga sana kama ungetuwekea picha tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…