Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
So waafrika Wote ni wachafu lakini na sio raia wa mataifa pengine ni wasafi Wote!Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda kununua chakula ambacho analisha watoto, ndugu na marafiki
Ukiridhika kupata chakula chako katika mazingira ambayo yanafanana na banda la nguruwe tofauti yako na nguruwe inakua ni nini?
Mchina ukiishi naye ni kawaida kuamka asubuhi na kukuta kiporo cha moyai viza ndani ya dustbin....na kwake kila kitu murua.So waafrika Wote ni wachafu lakini na sio raia wa mataifa pengine ni wasafi Wote!
Ishi na wachina ndio unajua kama mwafrika ni mchafu au ni msafi
Upo sahihi mkuu, hajaishi ya watu kutoka Asia ndio maana analaumu tu waafrika.So waafrika Wote ni wachafu lakini na sio raia wa mataifa pengine ni wasafi Wote!
Ishi na wachina ndio unajua kama mwafrika ni mchafu au ni msafi
Kwahiyo kwasababu jirani yako ana galagala kwenye banda la nguruwe na nguruwe wake wewe ni sahihi kucheza na kinyesi cha ng'ombe wako bandani?Upo sahihi mkuu, hajaishi ya watu kutoka Asia ndio maana analaumu tu waafrika.
😂😂😂 Akikujibu nitag mkuuKwahiyo kwasababu jirani yako ana galagala kwenye banda la nguruwe na nguruwe wake wewe ni sahihi kucheza na kinyesi cha ng'ombe wako bandani?
Kwa hiyo jirani yako asiposomesha mtoto wake na wewe ni sahihi wako kutomsomesha.?Upo sahihi mkuu, hajaishi ya watu kutoka Asia ndio maana analaumu tu waafrika.
Kujisaidia na kuacha kuflushMchina ukiishi naye ni kawaida kuamka asubuhi na kukuta kiporo cha moyai viza ndani ya dustbin....na kwake kila kitu murua.
Na hili ni tatizo la uwajibikaji wa halmashauri na manispaa zetu kwakuwa wafanyabiashara daily wanalipa ushuruHarufu na uchafu ndio imekuwa utambulisho wa masoko yetu mengi, ukisikia harufu tu ujue umekaribia sokoni na ukifika unapokelewa na uchafu baada ya hapo sasa unaanza kutafuta kilicho kuleta hapo sokoni.