Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Rushwa, uzembe na kutowajibika ipasavyoNa hapo kuna kamati ya usafi na ushuru wa soko unakusanywa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rushwa, uzembe na kutowajibika ipasavyoNa hapo kuna kamati ya usafi na ushuru wa soko unakusanywa...
Gari ya taka inatakiwa kila jioni au asubuhi ifike kuchukua taka.. Watu wanapunguza siku ili wapige za mafuta nk..RUSHWA! UZEMBE!Shida ni uongozi walafi kama pesa za taka watu wanatoa Kila mwezi zinaenda wapi...🐒
Kijana, uchafu wa mzungu kamwe haulinganishwi na wa Mwafrika. Angalia hayo Mazingira ya soko yalivyo, mahali tunapoenda kununua chakula. Wakati huohuo wanakusanya ushuru wa soko na kuna kamati za usafi wa soko!Hao wazungu mnaowapa sifa kila siku humu kunaanikwa habari zao kwamba ni wachafu kupindukia. Hivi yupi msafi kati ya asiyetumia maji chooni akajipangusa kwa tishu tu na huyu ambaye anajisafisha kwa maji safi chooni?
acha kujidharau mwafrika!
Sahihi,Kijana, uchafu wa mzungu kamwe haulinganishwi na wa Mwafrika. Angalia hayo Mazingira ya soko yalivyo, mahali tunapoenda kununua chakula. Wakati huohuo wanakusanya ushuru wa soko na kuna kamati za usafi wa soko!
Tumeridhika na uchafu na ndo maana miaka na miaka hilo soko lipo hivyo, hujasikia wateja waligoma kufanya manunuzi sehemu hiyo kwasababu hizo, hujasikia wafanyabiashara wenyewe wakiandamana kudai uwajibikaji kutoka kwenye uongozi wa sokoSahihi,
Lakini hapo umekuja vizuri sasa kwenye hoja. Ni kwamba taratibu zote za usafi zimewekwa ila kuna kutokuwajibika si ndiyo? Hapo kuna shida ya kiuongozi ambapo kilichotawala ni ufisadi, ubadhirifu, uzembe, nk na wala siyo tunafurahia uchafu. Kumbuka heading inasema tunaridhika na uchafu na ndipo hapo mimi ninapopinga kwa sababu wengi tunaumia kuona hivyo lakini hatuwezi kudhibiti hali hiyo kwa speed ya umeme na ndiyo kama hivi hatua za kukemea/kusemea kwa wahusika.
Najua hii kauli TUNARIDHIKA NA UCHAFU inatumika kama catalyst ili kuwakera na kuwafanya wahusika wachukue hatua za makusudi. Lakini swali la kimoyomoyo ni je wataelewa na kushughulikia kweli au watachukulia hivyo hivyo kwamba tumeridhika?Tumeridhika na uchafu na ndo maana miaka na miaka hilo soko lipo hivyo, hujasikia wateja waligoma kufanya manunuzi sehemu hiyo kwasababu hizo, hujasikia wafanyabiashara wenyewe wakiandamana kudai uwajibikaji kutoka kwenye uongozi wa soko
Sasa utajuaje tofauti ya soko la uswahilini na soko la uzunguni 😂😂😂Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda kununua chakula ambacho analisha watoto, ndugu na marafiki
Ukiridhika kupata chakula chako katika mazingira ambayo yanafanana na banda la nguruwe tofauti yako na nguruwe inakua ni nini?
Mdau hapa analalamika kuhusu uchafu masokoni huko Mbeya katika uzi wake : KERO - Mbeya: Kabwe hapafai kuwa Soko Jioni, ni pachafu kupindukia, tunakaribisha Kipindupindu
View attachment 3185358View attachment 3185359
Hopefully itawakeraNajua hii kauli TUNARIDHIKA NA UCHAFU inatumika kama catalyst ili kuwakera na kuwafanya wahusika wachukue hatua za makusudi. Lakini swali la kimoyomoyo ni je wataelewa na kushughulikia kweli au watachukulia hivyo hivyo kwamba tumeridhika?
pita na mabibo mahakama ya ndiziYaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda kununua chakula ambacho analisha watoto, ndugu na marafiki
Ukiridhika kupata chakula chako katika mazingira ambayo yanafanana na banda la nguruwe tofauti yako na nguruwe inakua ni nini?
Mdau hapa analalamika kuhusu uchafu masokoni huko Mbeya katika uzi wake : KERO - Mbeya: Kabwe hapafai kuwa Soko Jioni, ni pachafu kupindukia, tunakaribisha Kipindupindu
View attachment 3185358View attachment 3185359