Ukipita soko la Buguruni unakumbushwa tamaduni ya mwafrika ni kuridhika na uchafu

Hao wazungu mnaowapa sifa kila siku humu kunaanikwa habari zao kwamba ni wachafu kupindukia. Hivi yupi msafi kati ya asiyetumia maji chooni akajipangusa kwa tishu tu na huyu ambaye anajisafisha kwa maji safi chooni?

acha kujidharau mwafrika!
Kijana, uchafu wa mzungu kamwe haulinganishwi na wa Mwafrika. Angalia hayo Mazingira ya soko yalivyo, mahali tunapoenda kununua chakula. Wakati huohuo wanakusanya ushuru wa soko na kuna kamati za usafi wa soko!
 
Sahihi,
Lakini hapo umekuja vizuri sasa kwenye hoja. Ni kwamba taratibu zote za usafi zimewekwa ila kuna kutokuwajibika si ndiyo? Hapo kuna shida ya kiuongozi ambapo kilichotawala ni ufisadi, ubadhirifu, uzembe, nk na wala siyo tunafurahia uchafu. Kumbuka heading inasema tunaridhika na uchafu na ndipo hapo mimi ninapopinga kwa sababu wengi tunaumia kuona hivyo lakini hatuwezi kudhibiti hali hiyo kwa speed ya umeme na ndiyo kama hivi hatua za kukemea/kusemea kwa wahusika.
 
Tumeridhika na uchafu na ndo maana miaka na miaka hilo soko lipo hivyo, hujasikia wateja waligoma kufanya manunuzi sehemu hiyo kwasababu hizo, hujasikia wafanyabiashara wenyewe wakiandamana kudai uwajibikaji kutoka kwenye uongozi wa soko
 
Najua hii kauli TUNARIDHIKA NA UCHAFU inatumika kama catalyst ili kuwakera na kuwafanya wahusika wachukue hatua za makusudi. Lakini swali la kimoyomoyo ni je wataelewa na kushughulikia kweli au watachukulia hivyo hivyo kwamba tumeridhika?
 
Sasa utajuaje tofauti ya soko la uswahilini na soko la uzunguni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Buguruni pale ni shida sana.kipindi Cha magufuli ilikuwa linengwe upya na wakaanza kuzungushia uzio sijui ilikuwaje tena wakaacha.Soko la buguruni halifai kabisa kuitea soko Bali ni dampo.
 
Najua hii kauli TUNARIDHIKA NA UCHAFU inatumika kama catalyst ili kuwakera na kuwafanya wahusika wachukue hatua za makusudi. Lakini swali la kimoyomoyo ni je wataelewa na kushughulikia kweli au watachukulia hivyo hivyo kwamba tumeridhika?
Hopefully itawakera
 
pita na mabibo mahakama ya ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…