Ukipita Ubungo Flyover lazima umkumbuke Hayati Magufuli

Ukiondoa bwawa la Nyerere na daraja la Busisi miradi mingine mingi ilishaandaliwa na kusainiwa mikataba kuanzia reli,barabara,madaraja flyover za ubungo,Tazara n.k
Exactly. Ongeza na uwanja wa ndege wa Chato nao haukuwapo.

Shida Magufuli alijuwa kuwa 90% ya Watanzania ni wajinga na akawajaza UWONGO na wakajaa.

Wanamemlundikia sifa asizostahili
 
Mimi nikimuona Tundu Lissu akitembea huku anavuta mguu namkumbuka Dikteta Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…