Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Jana nimekwenda posta kununua stempu na kuposti barua kwenda UK(United Kingdom).
Baada ya kuiweka stempu nikamuuliza yule mdada barua itasafiri vipi?
Akasema, ile barua itapelekwa Dar es Salaam kwanza.
Nikasema,"Oh! kwa hiyo itaondoka ya ndege jioni?"
Akasema,"Hapana. Haitandoka leo. The letters have to be sorted. Lakini itafika London within two weeks"
Sasa,ni sahihi kumwambia mtu kwamba barua ya air mail itachukua wiki mbili kwenda London?
Hata meli sidhani kama inachukua wiki mbili kwenda London.
Kwanini watu wanataka tu chat kila wakati?
Ndio nimekuwa najiuliza jana kwamba haya mabadiliko ya viongozi ya mara kwa mara yamasabavishwa na watu wanazidisha ku chat,au ni nyota tu za wale wati ndio zinawaletea bahati au balaa?