Ukiposti barua kwenda UK inachukua muda gani kufika kule?

Ukiposti barua kwenda UK inachukua muda gani kufika kule?

Unaweza kuta barua ina taarifa za siri sana.
 
Ndio nimekuwa najiuliza jana kwamba haya mabadiliko ya viongozi ya mara kwa mara yamasabavishwa na watu wanazidisha ku chat,au ni nyota tu za wale wati ndio zinawaletea bahati au balaa?
Paragraph ya mwisho ndipo penye ujumbe.

Mimi naamini tatizo ni karma!!

Chama kimefika mwisho wa uhai wake.
 
Back
Top Bottom