Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Apr 3, 2024 #21 Buti la mkoloni said: Daah!!!! πππ Hivi bado watu wanatuma barua. Click to expand... mm nlikuwa najua barua za posa ndo zinatumwa
Buti la mkoloni said: Daah!!!! πππ Hivi bado watu wanatuma barua. Click to expand... mm nlikuwa najua barua za posa ndo zinatumwa
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Apr 3, 2024 #22 Email na fax isingetosha?
MaT2B JF-Expert Member Joined Jul 12, 2019 Posts 658 Reaction score 2,081 Apr 3, 2024 #23 Unaweza kuta barua ina taarifa za siri sana.
Papaaa mukuubwaaa JF-Expert Member Joined Jan 26, 2023 Posts 1,534 Reaction score 1,511 Apr 3, 2024 #24 MaT2B said: Unaweza kuta barua ina taarifa za siri sana. Click to expand... KABISA MTOA MADA ANGETOA LONJA KIDOGO
MaT2B said: Unaweza kuta barua ina taarifa za siri sana. Click to expand... KABISA MTOA MADA ANGETOA LONJA KIDOGO
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Apr 3, 2024 #25 Poppy Hatonn said: Ndio nimekuwa najiuliza jana kwamba haya mabadiliko ya viongozi ya mara kwa mara yamasabavishwa na watu wanazidisha ku chat,au ni nyota tu za wale wati ndio zinawaletea bahati au balaa? Click to expand... Paragraph ya mwisho ndipo penye ujumbe. Mimi naamini tatizo ni karma!! Chama kimefika mwisho wa uhai wake.
Poppy Hatonn said: Ndio nimekuwa najiuliza jana kwamba haya mabadiliko ya viongozi ya mara kwa mara yamasabavishwa na watu wanazidisha ku chat,au ni nyota tu za wale wati ndio zinawaletea bahati au balaa? Click to expand... Paragraph ya mwisho ndipo penye ujumbe. Mimi naamini tatizo ni karma!! Chama kimefika mwisho wa uhai wake.
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Apr 3, 2024 #26 Chance ndoto said: Ameambiwa kuna sorting, kuna movmnt sasa shida iko wapi? Click to expand... Shida ni akili
Chance ndoto said: Ameambiwa kuna sorting, kuna movmnt sasa shida iko wapi? Click to expand... Shida ni akili