Ukisafiri kwa V8 au hata kwa basi huku unasikiliza nyimbo za CCM, safari inakua nyepesi sana isiyo na uchovu wala usumbufu bali inakua safari salama

Duh! Usalama wa safari unatokana na nyimbo, tena za kidunia?!?! Aisee..........!
 
So CCM Ndio dini yako
 
Matatizo ya kuyajua magari ukubwani, ila hongera sana gentleman kwa wamatumbi sio jambo la kawaida
sasa ntafanyaje gentleman ndio chombo cha kazi kwa safari za maeneo mbalimbali nchini ingawa hata basi natumia
 
Umelewa visungura na bangi Sasa unaropoka mashuzi. Acha ufala gentlemen.
relax gentleman,
dawa ya mihemko na makasiriko yako ni nyimbo bora na nzuri sana za ccm.

sikiliza ule wimbo wa wacha waisomenamba ee ccm mbele kwa mbele,
na utakua umepona kabisa mihemko yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…