Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jichanganye wewe kwanza😁 niko mahali ambapo radi inauzwa kama pipi!Basi jichanganye!
Duh! Usalama wa safari unatokana na nyimbo, tena za kidunia?!?! Aisee..........!Nyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa kusonga mbele ikiwa umekata tamaa.
Mathalani unapigwa ule wimbo wa waacheni waandamane na ujinga wao, ccm mbele kwa mbele, vijana ni wale wale, tumejipanga mwaka huu wataisoma.
Au ukapigwa ule wimbo wenye maneno, "kazi zinazofanywa na chama big up big up CCM, bila chama cha mapinduzi nchi yetu ingekua wapi, bila chama cha mapinduzi uhuru wetu ungetoka wapi"
Au uweke ule wimbo wa sasa kumekucha jogoo limekwisha wika Dodoma, aise safari inakua fupi, isiyochosha na salama zaidi kwa Neema na Baraka za Mungu.
Furahia nyimbo nzuri sana za kizalendo za CCM, zilizobeba ujumbe mzito mzito na muhimu sana wa hamasa, matumaini, burudani na ujasiri kwa wananchi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
ndugu mdau, huwa unafurahi kwa kiasi gani zinapopigwa nyimbo bora kabisa za CCM?
Na unadhani ni kwanini waTanzania wote wanazipenda na kuhamasika sana na nyimbo nzuri sana za CCM?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
stress zitawamaliza vija na wapeli na kibaka wa siasa![]()
So CCM Ndio dini yakoNyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa kusonga mbele ikiwa umekata tamaa.
Mathalani unapigwa ule wimbo wa waacheni waandamane na ujinga wao, ccm mbele kwa mbele, vijana ni wale wale, tumejipanga mwaka huu wataisoma.
Au ukapigwa ule wimbo wenye maneno, "kazi zinazofanywa na chama big up big up CCM, bila chama cha mapinduzi nchi yetu ingekua wapi, bila chama cha mapinduzi uhuru wetu ungetoka wapi"
Au uweke ule wimbo wa sasa kumekucha jogoo limekwisha wika Dodoma, aise safari inakua fupi, isiyochosha na salama zaidi kwa Neema na Baraka za Mungu.
Furahia nyimbo nzuri sana za kizalendo za CCM, zilizobeba ujumbe mzito mzito na muhimu sana wa hamasa, matumaini, burudani na ujasiri kwa wananchi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
ndugu mdau, huwa unafurahi kwa kiasi gani zinapopigwa nyimbo bora kabisa za CCM?
Na unadhani ni kwanini waTanzania wote wanazipenda na kuhamasika sana na nyimbo nzuri sana za CCM?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Nyimbo zenye viwango vya TBSNyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa kusonga mbele ikiwa umekata tamaa.
So unatushauri ninini chama kinacho aminika na kukubalika kwa waTanazani wote gentleman![]()
😁😂😁😂😁😂 brain damage 😂😂😂ni muhimu sana kuskiliza nyimbo zenye ujumbe mzuri wa matumaini na ujasiri za ccm,
ambazo pia zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo![]()
relax gentleman,Umelewa visungura na bangi Sasa unaropoka mashuzi. Acha ufala gentlemen.