Ukisafiri kwa V8 au hata kwa basi huku unasikiliza nyimbo za CCM, safari inakua nyepesi sana isiyo na uchovu wala usumbufu bali inakua safari salama

Hicho kiapo Cha chama Cha kijani,ungekuwa ni kumcha Mungu,Hakika msingeonja mauti!
 
Hicho kiapo Cha chama Cha kijani,ungekuwa ni kumcha Mungu,Hakika msingeonja mauti!
gentleman,
hufahamu kwamaba mimi ni miongoni mwa apostles humu nchini?

hujachelewa,
Nakuombea Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe katika kazi na majukumu yako ya kila siku, Aimen.

Na kwa maombi, neno na maombezi zaidi, tukutane kwenye majukwaa na hoja nyingine mezani
 
Haya ndo madhara ya kuzaa watoto kisa tamaa ya chips kavu na mirinda nyeusi ya bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi
hivi ndugu zangu wa dar,
chipsi mbona huku kwetu ni kama mboga tu?

eti huko ni chakula kabisa dah, sasa utafanya kazi gani kula mboga pekeyake jamani?

au ndio chanzo cha kuitwa sijui nini suruali huko n.k.

Gentleman,
wimbo wa sasa kumekucha, ukutie nguvu, bidii na spirit ya kujitegemea
 
Nyimbo za ccm ni nyimbo za kazi gentleman?

Acha basi kumsumbua Mungu kwa mihemko na makasiriko yako gentleman,
uvivu na uoga wako ndio umaskini wako, sasa unanikasirikia mimi kwanini gentleman?

pole kwa changamoto,
buti suluhisho la changamoto zako za kimaisha zipo katika bidii na moyo wako wa kutokata tamaa.
pambana bila kuchoka, utatoboa tu gentleman.

wimbo wa ccm mbele kwa mbele, ukuboost zaidi gentleman
 
Utakuwa Mchepuko umesombwa huku una binuwa binuwa
 
Wakati humo njiani unamokatiza wanaichi wake ni maskini wa kutupa na akili zenu zimelelia kwenye kufikiria kuiba kura siku zote wakati wahusika hawawataki,mmebakiwa na chawa kama wewe
Anajizima data!
 
Utakuwa Mchepuko umesombwa huku una binuwa binuwa
kurejesha ufahamu na uelewa wako sawa,
sikiliza wimbo wa wataisoma namba,

itakusaidia sana kupunguza mawazo na msongo wa mawazo unaokuzonga
 
Nawewe nakuombea Mungu akupe kuna maovu yanayotendwa na chama chako Cha kijani ili uwe mkweli na kweli ikuweke huru!
 
Uko sawa, ccm ni wasanii wa kutunga yasiyoendana na uhalisia, hawatofautiani na wasanii wa kanisani wanaoimba acha uzinzi kumbe wakati huo huo kwaya masta anamegwa na mchungaji, mwenyekiti wa kwaya na mhasibu ni wapenzi, wanakwaya wanapoenda kwenye makambi wanasaguana wenyewe..
HUO WOTE NI UCHAFU KAMA UCHAFU MWINGINE!
acheni kucheza na akili za watanzania, acheni kabisa!
WATANZANIA WANAPITA WAKATI MGUMU SANA KATIKA TAIFA LAO WALIMOZALIWA.
1. hakuna mwenye uwezo wa kuhoji{wanaugulia tu maumivu kimya kmya}
2. watu wanahamishwa kutoka maeneo yao kama kuku asiyejua kuwa jioni itamkuta wapi
3. ajira ni za kuhojiwa nani kakuleta humu.
4. kodi ni kero kila kona.
5. mahospitalin ndo usiseme ni taabu tupu.
6. wabunge wanakula pesa ambazo hazna kodi lakn ndyo wanapitisha sheria za kodi kwa walala hoi wa tz.
7. mawazr, wakuu wa mikoa na watendaji wanajiona hawatakufa n miungu watu.
YAANI NI UPUMBAVU JUU YA UPUMBAVU, NI MENGI MNO.

IPO SIKU MUNGU ATAINGILIA HAYA MAMBO.
 
Nawewe nakuombea Mungu akupe kuna maovu yanayotendwa na chama chako Cha kijani ili uwe mkweli na kweli ikuweke huru!
Gentleman,
nikithibitisha uovu wa yeyote ndani ya chama au nje ya chama cha siasa, ndani ya serikali au nje ya serikali, kamwe siwezi kusita au kukaa kimya kulaani na kukemea uovu huo,

Ila kamwa siwezi kuchochewa na hisia au chuki binafsi kumnenea mwingine yeyote ubaya, ispokua katika siasa tu 🐒
 
habari za nyimbo za huko kwenye nyumba za ibada sihusiki nazo gentleman,

hata hivyo,
ukiskiliza nyimbo za ccm za kutosha miongoni mwa nyimbo hizo yapo majibu sahihi ya mambo yote ulouliza.
nadhani JF ni miongoni mwa majukwaa muhimu ya kuhoji mambo mbalimbali ndani au nje ya vyama vya siasa au serikalini,

kusema ati 1. hakuna mwenye uwezo wa kuhoji{wanaugulia tu maumivu kimya kmya} hayo ni maoni na mtazamo binafsi, lakini kila mtua ana uhuru na haki ya kuhoji mambo.

hayo mengine ya sijua akina nani wanakula pesa tu, ambazo ni kodi za wananchi
ni dhana potofu tu ambayo haina maana wala msingi wowote.

habari ya kufa ni Neema na Baraka za Mungu gentleman,
ni muhimu sana kuskiliza nyimbo za hamasa za ccm ili kupata moyo na ujasiri wa kujitegemea na kuongeza bidii zaidi katika kufanya kazi kwa maslahi mapana ya taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…