Ukisafiri kwa V8 au hata kwa basi huku unasikiliza nyimbo za CCM, safari inakua nyepesi sana isiyo na uchovu wala usumbufu bali inakua safari salama

alaa,
unataka kuporomosha radi zito mtaalamu?

leo jumapili bana kausha

leo ni siku ya kuskiliza ngoma za ccm tu
Nadhani unanibembeleza nikulime tusi, mimi nikichokozwa huwa najibu kwa kipimo cha juu zaidi matokeo yanakuwa mabaya sn kwa upande wako.
 
Kwa waliopo kwenye mfumo wataona mambo sawa kabisa, ila kiukweli mambo mazito sana
gentleman,
ni muhimu sana kufanya bidii katika kazi ya kutafuta wepesi katika mazito na magumu mbalimbali ili hatimae upate urahisi wa maisha.

ni kweli hakuna wepesi kwenye kutafuata

mfumo ni wa waTanzania wote.
 
Nadhani unanibembeleza nikulime tusi, mimi nikichokozwa huwa najibu kwa kipimo cha juu zaidi matokeo yanakuwa mabaya sn kwa upande wako.
tafadhali sana gentleman,

leo ni jumapili,
ni muhimu kua na mapumziko yenye hamasa tulivu ya burudani, ambayo kiukweli uataipata kirahisi sana ukiskiliza nyimbo za hamasa za CCM,

nikuhakikishie lazima utajikuta umehamasika na kujiepusha kabisa na suala la kutaka kuporomosha tusi zito mbele ya wadau wa JF
 
Nimekuvumilia muda mrefu lakini naona unaendelea naenda kuishiwa uvumilivu nikushughulikie vizuri, naomba asije mtu inbox kukuombea msahama sijui mzee Netanyahu msamehe sitakuwa na muda wa kusikiliza hata kdg, nadhani matokeo kwa upande wako yakuwa ni mabaya sn.
 
Chama auawanachama wanapokosea tuwe wakweli na kutoka suluhisho kuliko kuwa watetezi wasio na tija!
ni muhimu kueleza ukweli gentleman,

serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan imetengeneza mazingira mazuri na wezeshi sana kwa biashara kufanyika kwa ufanisi kote nchini,
na kwa hali ya uchumi wa mtu moja moja ilivyoimarika, popote ukifungua na ukiweka biashara ya aina yoyote ile lazima utappata wateja tu, soko lipo tena la uhakika,

afya, elimu, maji, kilimo, ufugaji, usafirishaji, miundombinu n.k vimeimarishwa sana katika maeneo yote ya nchi, kitu ambacho imekua ngumu zaidi kwa wapotoshaji kusema uongo wao na wameishia kwenye no reform no elections tu
 
Wee jamaa zoba sana. Zwazwa kwa msemo wa KENZY
 
Mlisema umeme utakuwa wa uhakika na gharama kupungua,hili unalisemaje mwanaccm?!!
 
 
Yes gentleman,
Dr.Samia Suluhu Hassan,
is the champion of peace and reconciliations, the champion of environmental protections, the champion of Tourism, education, health and everything,

Na baadae October mwaka huu 2025, anakwenda kua champion wa uchaguzi mkuu wa KIHISTORIA Tanzania.

yote hayo halafu mama hata haringi
 
Duh unasafiri na v8 alafu unapita barabara ya vumbi na mashimo
Ukifika bado lazima uchoke πŸ˜„

Ova
 
Mlisema umeme utakuwa wa uhakika na gharama kupungua,hili unalisemaje mwanaccm?!!
nadhani kila mwananchi ni shuhuda kwamba, hakuna malalamiko kuhusu nishati hiyo tena. hiyo ni kuonyesha kwamba serikali sikivu ya ccm, imedhamiria kutatua changamoto hiyo kabisa,

mipango mikakati ya kuiboresha na kuifanya toshelevu, nafuu na ya uhakika inaendelea kutekelezwa vizuri sana kwa awamu katika maeneo mbalimbali nchini,

sikiliza nyimbo za hamasa za ccm weekend hii kwa mapumziko tulivu na mwanana gentleman
 
Yes gentleman,
Dr.Samia Suluhu Hassan,
is the champion of peace and reconciliations, the champion of environmental protections, the champion of Tourism, education, health and everything,

yote hayo halafu mama hata haringi
 
Yes gentleman,
Dr.Samia Suluhu Hassan,
is the champion of peace and reconciliations, the champion of environmental protections, the champion of Tourism, education, health and everything,

yote hayo halafu mama hata haringi
Kabisa aiseee... Tunawashukuru wananchi wameona ni Bingwa of Comedy. Hongera zake kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…