Ukisafiri kwa V8 au hata kwa basi huku unasikiliza nyimbo za CCM, safari inakua nyepesi sana isiyo na uchovu wala usumbufu bali inakua safari salama

kutembea na marking scheme au majibu yako mfukoni, ukitarajia kuelezwa sambamba na unavyotarajia, si utapata tabu sana kwenye jukwaa hili la siasa gentleman?πŸ’
Kama ni ufia chama huu ni vunja unoko!
 
Chama chochote Duniani,Lengo kubwa ni kiwatumikia Wanachi kiufaaa,Chama kinachokuwa madarakani Lazima kionyeshe kile kilichonadi sera zake,na pia kama kuna mapungufu Ambayo wananchi wanayaona kiwe tayari kuyakubali na kuyarekebisha na wanachama wa chama hicho watoe suluhisho thabiti kwenye vikao vyao au majukwaa ya kijamii.Badala yake hapa kwetu kumejitokeza watu kama huyu Mtoa mada na wengine kushupaza shingo kwa kutetea hata vitu vilivyo wazi!Eti barabara zimetengwa, hospital,masoko.Hili ni hukumu la chama chochote kilichopo madarakani kuyatimiza hayo,Wala sio Hisani.Mtoa mada jitafakari na uone una ndugu ,jamaa wanaona jinsi ulivyo.Vile afikiliavyo mtu na kunena, Ndivyo alivyo,pale roho Yako ilipo nipo na Hazina Yako ilipo.Tuache Hazina NJEMA Duniani hata tukifa tusiitwe kaondoka ziro brain!
 
relax tu gentleman,

hiyo ndio tabia ya ukweli ilivyo, ni mchungu halafu unauma kweli moyoni kuupokea

skiliza nyimbo nzuri sana za CCM kwa afya njema ya akili πŸ’
Bora nisikilize mtu ni Afya wa Mbaraka Mwishehe!
 
Astagafirulaah laana tulah! 😬😬 Hzo nyimbo ukisikiliza unaweza Piga Mzinga mkali sana tukusahau nyimbo za CCM zimejaa UDHALIMU,WIZI, UFISAFI, DHULUMA,GILBA,VIJEMBE,UNAFIKI na UKANDAMIZAJI wa hali ya Juu
Utasikia "Wacha Waisome nambaaa hee!!
 
relax tu gentleman, hasa ikiwa umefikia ukomo wako wa mwisho, wa mawazo mapya na fikra mbadalaπŸ’
Wewe ndio unafikiria kinyume chake , maana huna hoja za kusikilizwa,kweli mtu na akili zake akae kwenye Hilo dude asikilizwe,tuwachanechane tuwatupe,harambee,Harambe mama,harambee!Watu hamtabadilika hadi kupatwa kwa jua!
 
Kwa akili ya Mtoa mada ndio nyimbo hata kwake,kama ni mpangaji wako namrudishia Kodi yake akaimbie sokonni
 
Ni mwanzo wa kuwa comedian? 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…