Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni ufia chama huu ni vunja unoko!kutembea na marking scheme au majibu yako mfukoni, ukitarajia kuelezwa sambamba na unavyotarajia, si utapata tabu sana kwenye jukwaa hili la siasa gentleman?🐒
Bora nisikilize mtu ni Afya wa Mbaraka Mwishehe!relax tu gentleman,
hiyo ndio tabia ya ukweli ilivyo, ni mchungu halafu unauma kweli moyoni kuupokea
skiliza nyimbo nzuri sana za CCM kwa afya njema ya akili 🐒
Wewe ndio unafikiria kinyume chake , maana huna hoja za kusikilizwa,kweli mtu na akili zake akae kwenye Hilo dude asikilizwe,tuwachanechane tuwatupe,harambee,Harambe mama,harambee!Watu hamtabadilika hadi kupatwa kwa jua!relax tu gentleman, hasa ikiwa umefikia ukomo wako wa mwisho, wa mawazo mapya na fikra mbadala🐒
Wote huo Ni uvivu wa kulimarelax tu gentleman,
hiyo ndio tabia ya ukweli ilivyo, ni mchungu halafu unauma kweli moyoni kuupokea
skiliza nyimbo nzuri sana za CCM kwa afya njema ya akili 🐒
Kwa akili ya Mtoa mada ndio nyimbo hata kwake,kama ni mpangaji wako namrudishia Kodi yake akaimbie sokonniAstagafirulaah laana tulah! 😬😬 Hzo nyimbo ukisikiliza unaweza Piga Mzinga mkali sana tukusahau nyimbo za CCM zimejaa UDHALIMU,WIZI, UFISAFI, DHULUMA,GILBA,VIJEMBE,UNAFIKI na UKANDAMIZAJI wa hali ya Juu
Utasikia "Wacha Waisome nambaaa hee!!
Nimekaushwa damu na unaowafanyia uchawahuenda umezongwa na madeni ya kausha damu 🐒
Duhjaribu uone uhakika, urahisi na wepesi wa safari ulivyo kwa kuskiliza nyimbo nzuri za uhamasishaji za CCM gentleman 🐒
Sio kulima tuu hata kufikilisha akili,lipi ni Jambo jema?!Wote huo Ni uvivu wa kulima
Kwa hiyo bao 5 za mkono za wenye vifua vyembamba au vipana?Matokeo ya October inawezakua ni 5bila uchaguzi mkuu,
dah Yanga wabaya sana gentleman 🐒
Chama cha wachawi na majizi ya Kura!ni chama kinacho aminika na kukubalika kwa waTanazani wote gentleman![]()
Ni mwanzo wa kuwa comedian? 🤣huo ni mwanzo tu gentleman,
kila kundi la kijamii, kiuchmi na kisiasa, nchini linakwenda kumtangaza Dr.Samia Suluhu Hassan kama champion wao,
na hitimisho la makundi yote sasa ya kijamii, kisiasa na kiuchmi, yatamfanya na kumtangaza Dr Samia Suluhu Hassan kua champion wa uchaguzi mkuu wa KIHISTORIA Tanzania, litakua ni mapema October mwaka huu 2025.🐒