Ukisafiri ukakaa na Msichana siti moja, safari inakua fupi sana

Duuu mkuuu mtoto wamwita pawa benk hahaha
 
Ngabu first class cc USA BABY
 
Wenzio wanahonga magar na nyumba wanatabasamu wee kununua viazi na ndege wa kichina povu linakutoka....Lofa weeee
 
Kwani mkuu..kulikuwa na haja gani kulipa bill.? Kila mtu si katoka kwao kivyake
 
dah wewe ulipiga teke bakuli la dhahabu vijana wa sasa wanasema hivyo, au ulipishana na gari la mshahara
Huwezi kujua pengine nina mgodi na mtambo wa kuchapisha noti.

Usitake kula kila kitu. Utakula mpaka sumu.

Hawa watu kama si mtu wa kukutana nao kila siku wanaweza kukusumbua. Lakini wengine tunakutana nao kila siku mpaka tunawakimbia wenyewe.
 

Mkuu tafuta movie inaitwa Sleeping Dictionary, hapo ndo pake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…