mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
- Thread starter
- #21
bonge la neema ww unaionaje hiyo bahati?Na hivyo safari ndefu siku hizi ni siku mbili mtafaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bonge la neema ww unaionaje hiyo bahati?Na hivyo safari ndefu siku hizi ni siku mbili mtafaidi
Duuu mkuuu mtoto wamwita pawa benk hahahaNdio maana mama chanja wangu hasafiri peke yake,lazima niende nae au nimpe powerbank (mtoto) akae nae ,tena powerbank yangu kwa umbea ikifika tu home bila kuuliza itanipa hadithi yote,
ukiona mtu anafurahia kukaa siti 1 na mwanamke kwenye bus jua huyo ni domo zege tu
Ngabu first class cc USA BABYMi nakumbuka majuzi hapa nilisafiri na nikaa na Esther. Niliifurahia sana hiyo safari na kwa kweli ilikuwa fupi mno.
Kwa ndege sijawahi kukaa na mchuchu kwa sababu huwa napanda daraja la kwanza unless labda niwe nimepanda FastJet kwenda mikoano huko.
Ujue na matumizi yatakuwa mengi zaidibonge la neema ww unaionaje hiyo bahati?
ila starehe garama uwezi taka mmliki mtoto mkali alafu usiwe na ela mimi apa kwa kujiendekeza tuu kujiproud ishakata 40 fastaUjue na matumizi yatakuwa mengi zaidi
Looh ningekuwa mwanaume ningekuwa bahili sana "nimejaribu kuwaza kwa nguvu"ila starehe garama uwezi taka mmliki mtoto mkali alafu usiwe na ela mimi apa kwa kujiendekeza tuu kujiproud ishakata 40 fasta
mkuu vunga bcWenzio wanahonga magar na nyumba wanatabasamu wee kununua viazi na ndege wa kichina povu linakutoka....Lofa weeee
tatizo ukiwa bahili sana watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji only... kwa nn umewaza hivyo?Looh ningekuwa mwanaume ningekuwa bahili sana "nimejaribu kuwaza kwa nguvu"
Ngabu first class cc USA BABY
Duhtatizo ukiwa bahili sana watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji only... kwa nn umewaza hivyo?
ili kumlainisha mkuu tupo chalinze nishajipendekeza tena na readbull maji na korosho na biscut juuKwani mkuu..kulikuwa na haja gani kulipa bill.? Kila mtu si katoka kwao kivyake
Huwezi kujua pengine nina mgodi na mtambo wa kuchapisha noti.dah wewe ulipiga teke bakuli la dhahabu vijana wa sasa wanasema hivyo, au ulipishana na gari la mshahara
dirishani unakua wa kwanza kutoa kichwaa.....uwahi kumwagizia.ili kumlainisha mkuu tupo chalinze nishajipendekeza tena na readbull maji na korosho na biscut juu
ww unatoaga papuchi Bure?
nishamsogeza dirishani mkuu giza lishaingia nataka Anza fanya yangudirishani unakua wa kwanza kutoa kichwaa.....uwahi kumwagizia.
Hahahahahaha
Nilikaa na mtoto mmoja wa Kiswiss kwenye Swissair alikuwa anaenda kufanya kazi Mbeya, kwao Zurich. Nilikaa naye kutoka Zurich mpaka Dar. Mimi nilikuwa nakuja likizo. Alikuwa mcheshi sana. Akawa anataka mtu wa kujifunza Kiswahili naye. Bahati nzuri au mbaya nikawa busy sana kwenye mambo ya likizo yangu hata sikumfuatilia sana.
Haya bhna...fanya yako bro. Mdai vyakonishamsogeza dirishani mkuu giza lishaingia nataka Anza fanya yangu