Ukisafiri ukakaa na Msichana siti moja, safari inakua fupi sana

Hata mm ki ukweli siwez that much soon. We cant judge a book by its cover.

Ila mm binafsi niki concentrate na kumuangalia mtu kwa karibu sanaa na kuskiza maongezi yake...i can tell the character of that person nd what she z like. Roho ikishamkataa naachana nae kabisa.

All in all play it safe.
 
mkuu umelenga mle mle kadem kenyewe ni cha chuo ifm mbona tumelala sinza nimefanya yangu kilainiiii

Havinaga ujanja Ata awe mrembo vipi,

Huku njiani umeshakinunulia Apple plus redbull,,, ajakaa sawa umemrushia vocha awasiliane na nyumbani!!!

Mkishuka anakufata nyuma Tu Kama mbuzi wa hitima,,,,,,,,,,,,,,,
 
Nishaopoa sana madem safarini kipindi nikitocha Chuo Arusha nilkua na jamaa yng mmoja pale Kilimanjaro bus stand nikienda kukata ticket namwambia wap kuna mtoto mzurii niweke siti ya pembeni yake"
Ila inacost
 
Nipe mawasiliano yake nimfundishe[emoji45]
 
mkuu yule mtoto ni kisu hata ungekua ww usingeacha aisee daa

Sikulaumu mkuu, inategemea na mtu umejiwekea misimamo gani kwenye maisha na umechagua njia gani, ukisu wa msichana haunishawishi kuwa nae. Utavimaliza visu vyote mkuu? Kiranga ameshatahadharisha sio kila kisu kinafaa kuliwa 🙂
 
mkuu ukiuogopa sana ngwengwe unaupata kiulaini sana ila ukiwa jasiri kuupata ni ndoto kamanda pia ule ni ugonjwa wa kishujaa
Hamna anayeogopa ngwengwe cz still unaweza upata hata bila kukusudia/kupenda (God Forbid).

Issue hapa unagongaje mtu mpita njia humjui hakujui tena kavu. Kama utapiga si unavaa gwanda tu hata ww moyoni unakua na amani.
 
Kuna mwanangu pia alikaa seat moja na mtoto mkali,sema Alisumbuliwa sna na hyo Demu...
Hizi kucha zao za BANDIA zilimpa kazi sana mwana,maana demu alikua anamkwaruza nazo Kinamna flan hv,mpk ikabd jamaa avunge Kalala ili kukwepa huo mtihani
So always ktk safari ukikutana na mtoto mkali nabidi utulize mihemko
 
Nishaopoa sana madem safarini kipindi nikitocha Chuo Arusha nilkua na jamaa yng mmoja pale Kilimanjaro bus stand nikienda kukata ticket namwambia wap kuna mtoto mzurii niweke siti ya pembeni yake"
Ila inacost
daaa mkuu umeua mbaya kabisa ulipita navyo kaa vingapi
 
Havinaga ujanja Ata awe mrembo vipi,

Huku njiani umeshakinunulia Apple plus redbull,,, ajakaa sawa umemrushia vocha awasiliane na nyumbani!!!

Mkishuka anakufata nyuma Tu Kama mbuzi wa hitima,,,,,,,,,,,,,,,
hawana shida mkuu na chemba unazibua fresh aisee daa acha tuu
 

Mwanamke anatongozwa popote Ni ujasiri wako Tu,

Unaweza kuwa naye bar na chooni watu wakatongoza,,

Labda awe na shape ya sanam la Michelin,
Kidogo naweza vumilia tukasafiri salama!
 
Hawa dada zetu ukiwajulia vitu wanavyotaka wala hawana shida,

Nikiwa form one miaka hiyo ndiyo niliwahi kutongoza demu mwaka mzima na ndiyo nikapata na kukuta Ni bikra, miaka ya 95-96 hiyo!

Lakini kuanzia mwaka 2007 sijawahi kumtaka demu zaidi ya week nikamkosa labda niwe busy au salio alisomi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…