Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

Sasa ukimaliza kunyoa tu hao chap wamefika
 
Kweli mkuu, hata baadhi ya saluni vinyozi pia wanajua mchezo wote, maana wanagongeana lunch, vocha dinner,.. etc. Na wengine wanaletwa na bao vinyozi kwa kazi maalum.
 
This is literally me. Hua nanyoa usiku time ya kwenda homme. Nikifika tu naoga chap.

Maswala ya kuoshwa na jitu hulijui. Nimekataa
 
This is literally me. Hua nanyoa usiku time ya kwenda homme. Nikifika tu naoga chap.

Maswala ya kuoshwa na jitu hulijui. Nimekataa

Sijajua utaratibu wa kujaza wadada saloon ulianza wapi... Wanavyofanya kazi ni unaona kabisa wako on mission tofauti na wanachokifanya..

Ndio maana usipo jaa king wana fanya visa kama hivyo
 
Sio huduma ya lazima hio.. Akikuuliza unakataa tu kwamba hauhitaji huduma yao.

Mimi na nyoa sehemu moja mara nyingi nikiwa sijatoka maeneo yangu. Hivyo wameshanijua na kuzoea... Wakiniona hata hawana papara na mimi. Utaratibu wangu wanaujua.
Afadhali sehemu ambayo wanafahamu utaratibu wako, ukienda sehem alaf mgeni ndyo wanaona fursa imefika
 
Watu wana maarifa yakutafuta pesa. Na wanaume ni weak sana akiona tu paja la mwanamke ,wengine wamekuwa na uraibu kwenda kwenye hizi saloon ili tu kuminywa minywa ,kushikwa shikwa,kutomaswa tomaswa ,ile nayo ni kama aina nyingine ya ngono.
 
Na ukizubaa unajikuta na namba umechukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…