Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Huu upumbavu ndio maana nimempiga marufuku kaka mzuri kufanyiwa huduma yoyote tofauti na kunyoa.Kwenye bango la salon waliandika bei za kawaida na VIP. Sikufikiria tofauti yake, wakati naenda vyumba vya warembo nikawaambia VIP. Heee kumbe kule akawa ananifanyia scrub huku kavaa kamtandio.