Ukisema tu haufanyi scrub unaoshwa kama unabatizwa aisee!

Kipara sio kitu cha kuendea saloon kama una mke au mpenzi....
Daka clipper yako manful grooming then anakua unanyolewa kwa mahaba na scrub ya bure unapata mixer head massage.
 
Nikienda saloon nikirudi home naingia pekeyangu nalala pekeyangu, bado naishi mwenyewe na upara wangu. Sema ni jambo zuri siku mama mtu akiwepo na kutekeleza hilo.
 
Habari za jioni Wana Jf

Kwa wale ambao mara kwa mara mnapata huduma katika hizi saloon za kisasa, mtakuwa mnafahamu vyema huduma zitolewazo mule.

Baadhi ya saloon ukigoma kufanya scrub, utaoshwa kichwa kwa fujo na gadhabu kubwa.

Nayasema haya maana niligoma na nilinyoa upara sasa kakichovya kitambaa kwenye maji ya moto kikamshinda kakitupa kichwani kwangu.

Sijui kwanini wanapata makasiriko pale mteja anapo kataa kufanya huduma nyingine za ziada.
Au wakutajie zile scrub zao, wewe useme unataka ya bei rahisi...mmoja alinifanyia scrub moja ya vurugu mpaka nikamwambia basi sitaki na silipii hiyo scrub. Nikaondoka kwa hasira.
 
Saloon ambazo wanaofanya scrub ni wasichana usipotongoza utasuguliwa kama mbao na msasa
Kweli kabisa, mmoja baada ya mimi kugoma scrub ya bei kubwa, akaniambia kabisa sina hela.. alikuwa na hasira balaa, alinisugua kama msasa.
 
Au wakutajie zile scrub zao, wewe useme unataka ya bei rahisi...mmoja alinifanyia scrub moja ya vurugu mpaka nikamwambia basi sitaki na silipii hiyo scrub. Nikaondoka kwa hasira.
Siku Wakikutana na watu wakorofi watapewa za uso
 
Kuna siku nipo na Mrs baada ya kunyoa,kidada chuchu hizoo kikaniambia ingia huku chumba kingine kuoshwa, nikawa naeleka Mrs akainuka akanikamata mkono akaniambia stupid ukaoshwe kwani wewe mtoto nilimind kinomaaa.
Ha ha haaaa....!!! Mi wangu alikuwa ananichora tu ila nilipokataa kuoshwa akaniambia, "bahati yako"
 
Kipara sio kitu cha kuendea saloon kama una mke au mpenzi....
Daka clipper yako manful grooming then anakua unanyolewa kwa mahaba na scrub ya bure unapata mixer head massage.
Ni jambo jema kusema mke ndio awe anamfanyia mmewe scrub ,changamoto iliyopo watu wengi wanaishi mke na mme kulea watoto tu lakini hakuna romance,wala madavidavi ,watu wanaishi bora liende ,sasa watu unakuta hata hawaongei wamenuniana hivi inawekana kufanyiana grooming la hasha ndio maana wengine labda wanaamua kwenda kushikwa shikwa na watoto kwenye masaloon kuondoa stress.
 
Kuna siku nipo na Mrs baada ya kunyoa,kidada chuchu hizoo kikaniambia ingia huku chumba kingine kuoshwa, nikawa naeleka Mrs akainuka akanikamata mkono akaniambia stupid ukaoshwe kwani wewe mtoto nilimind kinomaaa.
Duh huyu wa kwako ni wa kwenda nae kanisani tuu 😄
 
Nikienda saloon nikirudi home naingia pekeyangu nalala pekeyangu, bado naishi mwenyewe na upara wangu. Sema ni jambo zuri siku mama mtu akiwepo na kutekeleza hilo.
Basi nenda kinyozi ya kawaida... sababu scrub hata mwenyewe unajisugua fresh
 
Nayasema haya maana niligoma na nilinyoa upara sasa kakichovya kitambaa kwenye maji ya moto kikamshinda kakitupa kichwani kwangu.

Sijui kwanini wanapata makasiriko pale mteja anapo kataa kufanya huduma nyingine za ziada.
Ni wewe ndio uliandika ujumbe kama huu kule Twitter au ni copy n paste?
 
Ni jambo jema kusema mke ndio awe anamfanyia mmewe scrub ,changamoto iliyopo watu wengi wanaishi mke na mme kulea watoto tu lakini hakuna romance,wala madavidavi ,watu wanaishi bora liende ,sasa watu unakuta hata hawaongei wamenuniana hivi inawekana kufanyiana grooming la hasha ndio maana wengine labda wanaamua kwenda kushikwa shikwa na watoto kwenye masaloon kuondoa stress.
Kwamba mnanuniana 30 days a month.....
Basi mbombo nghafu
 
Back
Top Bottom