Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #21
Sasa ukimaliza kunyoa tu hao chap wamefikaMimi namalizana na kinyozi wangu... Akisha maliza kuninyoa namwambia tu anifute na anipake after shave na spirit then naondoka kwenda kuoga nyumbani.
Hao kina dada wana matatizo sana. Kwanza wengi wao hawana uweledi na wanachokifanya... Target yao ni kuwa uchi uchi na kukuamsha hisia ili ujichanganye wapate chochote kitu.