utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
Wanasema ukitaka uishi vizuri uzeeni hakikisha umepita mapito yote ya ujanani ndio maana ukimkuta mtu anasumbua sana uzeeni jua ujanani kuna vitu hakufanya.
Mimi nilikuwa muumini sana wa kumaliza ujana pale nilipokuwa na umri wa 20-30 na nilipofika 31 nilikuwa nishamaliza mambo ya ujana ndio maana leo huwezi nikuta sehem ambazo wanakaa vijana wa sasa na zenye vurugu nyingi kama sinza huko,Tabata na buza, mbezi beach, masaki(coco beach).
Wazee asaiv unatukuta sehemu kama Goba, Makongo, Mbweni, Mpiji Magohe kwenye vi grocery vya mtaani, ndio sehemu zetu za kutamba watu wazima.
Nyongeza kwa wazee wenzako ukifika umri wa 35+ anza kutumia hela kupata mwanamke sio umri tena wa kutaka upendwe au utongoze mwanamke, wewe pendwa na mkeo hao wengine hela itumike tu, pia sio umri wa kumridhisha mwanamke utaja fia kifuani.
ASANTENI