Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

Once you have money, No limitation🤠😎
 
Starehe ni kufanya kile ambacho nafsi yako inakipenda na kuburudika,

Kamwe huwezi kumpangia mtu jinsi ya kustarehe coz hatufanani,

Wapo ambao,kwenda kwenye makelele ndio starehe yao,wapo pia ambao kwenda sehemu yenye utulivu ndio starehe yao,

Live the life u love,Love the life u live.
 
Kumbe 35 ni uzee...nyiee baaaa....
Mboni soon as posibo nitakua zea...
 
Back
Top Bottom