Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

Wanasema ukitaka uishi vizuri uzeeni hakikisha umepita mapito yote ya ujanani ndio maana ukimkuta mtu anasumbua sana uzeeni jua ujanani kuna vitu hakufanya.

Mimi nilikuwa muumini sana wa kumaliza ujana pale nilipokuwa na umri wa 20-30 na nilipofika 31 nilikuwa nishamaliza mambo ya ujana ndio maana leo huwezi nikuta sehem ambazo wanakaa vijana wa sasa na zenye vurugu nyingi kama sinza huko,Tabata na buza, mbezi beach, masaki(coco beach).

Wazee asaiv unatukuta sehemu kama Goba, Makongo, Mbweni, Mpiji Magohe kwenye vi grocery vya mtaani, ndio sehemu zetu za kutamba watu wazima.

Nyongeza kwa wazee wenzako ukifika umri wa 35+ anza kutumia hela kupata mwanamke sio umri tena wa kutaka upendwe au utongoze mwanamke, wewe pendwa na mkeo hao wengine hela itumike tu, pia sio umri wa kumridhisha mwanamke utaja fia kifuani.

ASANTENI
Zingatio kuu,

"""Nyongeza kwa wazee wenzako ukifika umri wa 35+ anza kutumia hela kupata mwanamke sio umri tena wa kutaka upendwe au utongoze mwanamke, wewe pendwa na mkeo hao wengine hela itumike tu, pia sio umri wa kumridhisha mwanamke utaja fia kifuani"""
 
😂😂
Ukimaliza hiyo weka Mayday huku una ka glass kako ka wine pembeni ahh kananogaje.!

Mi napenda live band mwenzio, hapa napambana nizae katoto kamoja ili nisipate kero ya kuulizwa unazaa lini?? Najua ndoa sina mpango nayo 🤣🤣🤣
Hehehe
Unasema
 
Kuna kipindi nilikiwa na piga tempo na wazee fulani, ndipo nilijua vitu vingi sana. Yaani mpaka unashangaa mzee mzima anakwambia anaccount ya siri mke wala watoto wake hawajui, yaani acheni tuu hivi vitu,kuna wengine hela zao wameweka UTT,unajua kabusa huko home hakufai.

Kuna wazee nyumbani wanaingia saa sita usiku kutoka wanatoka saa kumi na mbili.Hapo ndipo unajiuliza analala masaa mangapi.Kuna wazee sehemu ya kupata faraja ni bar na marafiki, kuna wale wengine ambao bado wana hofu na Mungu wao sehemu yao inayo wapa faraja ofisini, ofisini anaingia saa moja kutoka saa nne usiku.
Tatizo ni ndoa au? Kama ni ndoa wamejitakia wenyewe kuushi kwenye mahusiano yenye sumu kisa kuogopa wanadamu.
 
Wanasema ukitaka uishi vizuri uzeeni hakikisha umepita mapito yote ya ujanani ndio maana ukimkuta mtu anasumbua sana uzeeni jua ujanani kuna vitu hakufanya.

Mimi nilikuwa muumini sana wa kumaliza ujana pale nilipokuwa na umri wa 20-30 na nilipofika 31 nilikuwa nishamaliza mambo ya ujana ndio maana leo huwezi nikuta sehem ambazo wanakaa vijana wa sasa na zenye vurugu nyingi kama sinza huko,Tabata na buza, mbezi beach, masaki(coco beach).

Wazee asaiv unatukuta sehemu kama Goba, Makongo, Mbweni, Mpiji Magohe kwenye vi grocery vya mtaani, ndio sehemu zetu za kutamba watu wazima.

Nyongeza kwa wazee wenzako ukifika umri wa 35+ anza kutumia hela kupata mwanamke sio umri tena wa kutaka upendwe au utongoze mwanamke, wewe pendwa na mkeo hao wengine hela itumike tu, pia sio umri wa kumridhisha mwanamke utaja fia kifuani.

ASANTENI
Miaka 35 unafiaje kifuani wakati huo ndio umri wa raha kamili ya ejaculation? Bora ungeniambia at 45 ndio hela itumike kumfurahisha mke tu😀😀
 
Back
Top Bottom