utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
- Thread starter
- #81
Hamuoni mzee mpili😂😂jifanye forever young mvi zikija pakaa yomboo uje kuambiwa mtu mzima hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamuoni mzee mpili😂😂jifanye forever young mvi zikija pakaa yomboo uje kuambiwa mtu mzima hovyo
100% kabisa maliza mkuu tusiwafiche hawa madogoKuna ukweli 98%
Umri ushakukataa ukiona hivyoNimekuwa mvivu Sana Kula hizo bataz huenda ni utuuzima
Huyu mimi kabisa mkuu....nakaa grocery ambazo mziki tunapiga wenyewe watu wazimaNikifika zangu grocery naunga subufa bluetooth, then naanza kula zangu oldies iwe ni za bongo, bolingo au za mbele. Dah burdaan
Umri ukifika utayakumbuka hayaTena ni useeen** sio ukuda tu
Umri ukifikaTena ni useeen** sio ukuda tu
Third floor tunatakiwa tuwe tumemaliza yote pale kwenye second floorThird floor tumefikiwa.....🥹
Hizo ndio sehem zetu sasaNiko shop kwa Mangi hapa nafatilia comment.
Kwakweli, nmefika umri wa kuvaa miwani naishusha chini ya macho...... Afu sipendi kelele kweli umri umesogea.Umri ukifika
Third floor tunatakiwa tuwe tumemaliza yote pale kwenye second floor
Nakazia hata music penda bongo flavour za zamani na zilipendwa achana na kina harmonize, mario etalWanasema ukitaka uishi vizuri uzeeni hakikisha umepita mapito yote ya ujanani ndio maana ukimkuta mtu anasumbua sana uzeeni jua ujanani kuna vitu hakufanya.
Mimi nilikuwa muumini sana wa kumaliza ujana pale nilipokuwa na umri wa 20-30 na nilipofika 31 nilikuwa nishamaliza mambo ya ujana ndio maana leo huwezi nikuta sehem ambazo wanakaa vijana wa sasa na zenye vurugu nyingi kama sinza huko,Tabata na buza, mbezi beach, masaki(coco beach).
Wazee asaiv unatukuta sehemu kama Goba, Makongo, Mbweni, Mpiji Magohe kwenye vi grocery vya mtaani, ndio sehemu zetu za kutamba watu wazima.
Nyongeza kwa wazee wenzako ukifika umri wa 35+ anza kutumia hela kupata mwanamke sio umri tena wa kutaka upendwe au utongoze mwanamke, wewe pendwa na mkeo hao wengine hela itumike tu, pia sio umri wa kumridhisha mwanamke utaja fia kifuani.
ASANTENI
Kama uliishi kizembe 35+ huo umri mpaka kuna wachezaji wanacheza mpira wa miguu, kikapu n.kpia sio umri wa kumridhisha mwanamke utaja fia kifuani.
Sure, ya nini nidanganye.Sio kweli bro muongo 😂
Bado we ni mbichi, macho kuona kwa shida inaweza kumkuta hara wa miaka 10Kwakweli, nmefika umri wa kuvaa miwani naishusha chini ya macho...... Afu sipendi kelele kweli umri umesogea.
Uko wapi.....😊Bado we ni mbichi, macho kuona kwa shida inaweza kumkuta hara wa miaka 10
Nipo nipo tu.Uko wapi.....😊
Basi pokea simu yangu nikuambie kitu....Nipo nipo tu.
Ngoja nitangulie wewe kwnzaBasi pokea simu yangu nikuambie kitu....